Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa matokeo ya leo ya makolo maana yake tukishinda kesho tupo juu kwa alama nane. Imagine being us,. Na zitakuwa zimebaki games saba tu, kiufupi kwenye hizo mechi saba itabidi tufungwe mechi tatu...
1 Reactions
4 Replies
613 Views
Habari za mda huu Kwanza wapenzi wenzangu wa Azam FC Leo tuingia kwa mkapa kifua mbele Tunaenda kumdunda SIMBA ili afukuze kale ka matege ka rober[emoji16] Kikosi tunacho, nia tunayo,uwezo...
2 Reactions
12 Replies
687 Views
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na...
18 Reactions
225 Replies
23K Views
Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume. Na...
25 Reactions
75 Replies
6K Views
Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu. Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika. Kazi ipo....! Mangungu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wana Simba. Hakika hiki wanachofanya uongozi ni hujuma kwetu, ni kitendo cha kuja kupoza maumivu yetu wana thimba. Hii Februari naona ni vilio vimetawala kwetu. Utawala umeshaona...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
By De Opera , Ni takribani miaka minne, tumeona klabu ya soka ya Simba ikifanya vizuri mashindano ya kimataifa kiasi cha kwamba hadi imesababisha uwepo wa vilabu vinne kushiriki mashindano ya CAF...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Sababu kubwa ya Simba kufungwa na RAJA ni kwa sababu uwanja wa MKAPA ulishikwa na UTOPOLO kiasi kwamba ushindi wa uto ulikuwa wa SIMBA. Wazee wa YANGA walifanya umafia uwanja ukalogwa sana. So...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Huu ndio ukweli ndugu zangu, Simba tumekuwa tukifungwa tu kila mara tunapokutana na Hawa wakongo na kibaya zaidi hata mechi za kirafiki wamekuwa wakitufunga. Hadi mechi za sherehe yetu ya Simba...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Mwanzo nilitoe shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai huu adimu Nije kwenye mada simba jumamosi imefungwa 3.0 na raj sio kuwa raj hawakustahili kupata ushindi mbele ya simba ila tatzo...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Shalom! Shaom! Baada ya salaam niende moja kwa moja kwenye pointi Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza . Natuma ujumbe huu kwa viongozi wa yanga walitizame hili na walifanyie kazi haraka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakuna shaka Simba anahitaji kushinda leo dhidi ya Azam ili kuendelea kubaki kwenye mbio za ubingwa. Lakini hapohapo Jumamosi ijayo anamchezo muhimu sana dhidi ya Vipers. Kwenye Champions league...
0 Reactions
5 Replies
372 Views
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea hadi...
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Naaam nimepita kwenye vilinge vingi vya wakamaria kila mkamaria anaamini simba anakufa mbele ya Azam. Hiyo ni ndoto ya mchana kweupeee amka mkamaria kabla hujajikojolea, kiufupi ni hivi Azam...
0 Reactions
9 Replies
504 Views
Wanasimbaaaaa! Game iliyopita hatuna cha kuifanya ila kesho ni nafasi nyingine ya kupigania ubingwa tulioporwa na Uto. Wanasimbaaaaa, kesho tuna vita muhimu na timu ngumu zaidi kwenye ligi yetu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuelekea mechi za kimataifa za CAF champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kauli ya MO jana kuwa “JUZI TUMEFUNGWA JANA TUKAFUNGWA MDOMO” hii imetuvuruga wana simba. Kila mwana simba anatapatapa. Simba inahtaj kiongozi kama hanspope ambaye anaweza kutuliza hii hali ya...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwenye mechi ya jana (Yanga VS TP Mazembe), Mwamnyeto alikuwa na kiwango bora sana. Hofu yangu ni je ubora huu aliouonyesha utaendelea? Maana pale Yanga kuna wachezaji wengi ambao ni maji kupwa...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Mechi ya jana tunajua kila kitu kilichofanyika, kwanza walianza na Dodoma kule Dodoma lkn hawakufanikiwa, wakafanya na Singida hawakufanikiwa, wakatumia nguvu kubwa sana na Raja, hata kama Raja ni...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Back
Top Bottom