Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Upo msemo unasema "a viper strikes while you feel safe and secure" yaani nyoka huyo mwenye sumu kali anakugonga ukiwa unajihisi uko salama,timu ya Vipers itaikaribisha timu ya Simba nchini...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Baada ya kusambaa kwa video ikionyesha basi la timu ya Simba likiendeshwa kinyumenyume, dereva wa basi hilo na meneja wa timu, wamevunja ukimya wa tukio hilo huku jeshi la polisi kikosi cha...
0 Reactions
2 Replies
610 Views
Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani me naanza kuamini msemo wa Ajibu kuwa Bocco mchawi. Why Bocco anapewa nafasi na Phiri anakaa nje? Hivi kweli Phiri wa kukaa benchi na Bocco kuanza? Pili, kwanini mpaka leo Simba inasajili...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa nini mazoezi ya simba yapo wazi sana kila mtu anafika na kuona tunachofanya. Why viongozi hawalioni hili?
1 Reactions
13 Replies
911 Views
Jamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
maoni yangu kuhusu kuweza kubadili maisha yako kwa uzuri kwa kucheza slots online. Ni kweli kwamba baadhi ya wachezaji wa slots wamepata mafanikio makubwa na kushinda jackpots kubwa, ambayo...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Kwa kikosi cha Yanga sioni kama hawa TP Mazembe kama watatoboa. Cheki kikosi hiki; Diarra D. shaban Lomalisa Job Doumbia Bangala litombo Aucho Aziz key Kenedy Musonda Mayele
10 Reactions
84 Replies
6K Views
Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Amani ya bwana iwe nanyi wana wa MUNGU. Kuelekea mechi dume jumamosi, mechi ambayo kila mtanzania anaisubiri kwa hamu, mechi ambayo kila mwafrika mpenda soka anaamini raja casablanca anenda...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo Yanga haijawahi kucheza hatua ya...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni! Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu...
22 Reactions
57 Replies
3K Views
Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Kupitia Waziri wa Michezo Pindi Hazara Chana, kama mwakilishi wa Rais Samia usiku wa leo katika uwanja wa Taifa, ametimiza ahadi yake ya kuikabidhi timu ya wananchi Yanga FC kitita cha...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja! Hivi kweli tukiweka bangi pembeni Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja...
2 Reactions
9 Replies
676 Views
1) Magumashi katika usajiri wao. Tizama Baleke, Kapama, Okra, Banda, Okwa, Kibu, Watara. Hawa ukiwachanganya na Boko utafungwa mpaka ucheke! 2) Wachezaji wanamwomba Mungu, hapohapo timu inaroga...
6 Reactions
6 Replies
683 Views
Kama Wewe unazitaka kwa Udi na Uvumba Alama ( Points ) Sita ( 6 ) za Ndani Nje za Mganda unadhani na Yeye Mganda hazitaki zako Sita ( 6 ) za Nje Ndani? Halafu nani aliyewaambia na Kuwadanganya...
4 Reactions
7 Replies
560 Views
Back
Top Bottom