Nyama za uzi zitakuja baadae,
Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni Red Devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi.
Kiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop.
Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni...
Hivi karibuni, Simba wametoa poster moja ya "Kwa Mkapa Hatoki Mtu" ikiambatana na picha ya Moses Phiri akiwa vitani akiwa amezungukwa na moto.
Mimi sijawahi kupenda hizi graphics toka enzi zile...
Kwa jinsi ilivyooo
Naamini haitatuaibisha kama simba jana ile n aibu 3-0 na hela.Iko mezani
Naomba tujitahidi magoli jaman na kama kaushindi kanawezekana mfanye hivyo kumpa nguvu raisi wetu...
Wakuu habarii zenu, husikeni na somo tajwa hapo juu.
Naanza na kukiri kuwa Katika nchini yetu kuwa kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wachambuzi wengi ambao mimi binafsi nawaita Makanjanja...
Siku zote Uchawi wa Simba SC (hasa Jini lake la Ushindi) huwa linafanya Kazi vyema kuanzia Saa 1 Kamili Usiku mpaka Saa 5 na dakika 59 Usiku.
Na hakuna Mechi yoyote Ngumu (ya Kimaamuzi) hasa ya...
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha...
Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah...
Tukiachana na muziki, burudani inayofuatiwa kwa kupendwa na wengi ni mpira!
Lakini imekuwa bahati mbaya kwa mpira wa hapa nyumbani, umebebwa na timu mbili tu za Simba na Yanga.
Hali imekuwa...
Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema:
“Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza...
Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.
Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa...
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana...
Fact ipo hapa
Walienda Kwa mtaalamu akawaambia mtapigwa kumi Kwa mkapa
Wazee wakamuambia angalia vizuri huku wakichukia
Mtaalamu akawaambia, naziona 8 .....Simba nguvu zikawaishia ikabidi...
Ni kweli huko nyuma Simba aliweza kuwafunga Al Ahly na timu zingine kubwa. Pamoja na kwamba Simba alizifunga hizo timu, ilikuwa ni kujidanganya kudhani tayari Simba yupo nao level moja.
Kwa mfano...
Nitoe Pole kwa wanasimba wenzangu kwa kichapo tulichopokea jana nyumbani.
Ni wazi mpira ulichezwa vizuri na timu zote mbili kwa ufundi mkubwa. Wachezaji wa simba pamoja na kufungwa walionyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.