Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye...
5 Reactions
10 Replies
871 Views
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi...
14 Reactions
102 Replies
5K Views
Bondia wa Marekani, Mohamed Ali alipitia majanga mengi sana kabla ya kuwa bondia anayeheshimika duniani kwa rekodi yake ya kuwa bondia bora wa muda wote. Alizaliwa Januari 17, 1942 Louisville...
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Tajiri namba 13 Barani Afrika kamwe hawezi Kumnunua Ishael Sawadogo ambaye amekaa Miezi 10 bila Kucheza Ligi Kuu yoyote ile. Tajiri namba Barani Afrika kamwe hawezi Kumsajili (tena kwa Mkopo)...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili. MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa...
0 Reactions
7 Replies
830 Views
Wana simba wenzangu pigeni moyo konde tukubaliane na tunacho kiona, kiufupi leo tutaongea yote lakini ukweli ni kuwa raja walikuwa bora zaidi yetu. Kuanzia mchezaji mmoja mmoja kwakweli sasa hivi...
5 Reactions
10 Replies
768 Views
Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba. Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi.. ======== Updates Raja 5 - 0 Vipers Wafungaji: Hamza...
7 Reactions
186 Replies
11K Views
Nawatakia mchezo mzuri,usiokuwa na fujo na tushinde japo kwa goli moja.wachezqji na makocha wetu leo jitoleeni kufa kupona tushinde
0 Reactions
3 Replies
589 Views
Simba ina wenyewe, hao akina Mangungu sio watu wa mpira, watu wa mpira ndani ya Simba wamejitoa siku ile Mangungu alipotangazwa ameshinda uchaguzi, pale ndipo Simba ilipojifia kifo cha mende...
3 Reactions
7 Replies
615 Views
Mtabinya (Tutabinya) mno Mbupu zetu Kesho ili TP Mazembe isifungwe na Yanga SC (Yanga SC ifungwe ) ili tusichekane lakini Ukweli ni kwamba Kesho Yanga SC anashinda Mechi yake kwa Mkapa au atatooa...
2 Reactions
5 Replies
675 Views
Kesho Kocha Nabi atuwekee Mayele na Musonda. Wingers wetu eg. Twisila ni matatizo. Nyuma yao acheze Aziz Ki kama yuko fit. Mayele akicheza mwenyewe atuzurura tu uwanjan, nadhan mmeona game...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, Onyango yule ni 40-42, pale kuna wazee kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa. Timu imekuwa ikivizia wazee...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
If you khow you khow Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa mkapa Pamoja na vichezaji wa bure vya simba leo wanaenda kuaibishwa sana Natanguliza pole kwa mashabiki wa Simba Raja sio NAMUNGO
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa...
2 Reactions
3 Replies
426 Views
Wana Simba SC tunaposema kuwa tuko Kazini hatutanii tupo Kazini kweli kweli mpaka Raja Casablanca FC kesho ajute kuja Tanzania. Wewe mwana Yanga SC mwenye hiyo Gari tajwa tunajua ndani ya hilo...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Tuki uongelea mchezo wa leo ki ukweli simba hawakua tayari ku ukabili mchezo ,Wachezaji walikua hawana hali na morali hata kidogo.[emoji3064] Raja wali win mipira mingi ya simba ikitokea katikati...
0 Reactions
4 Replies
378 Views
Nadhani ni maagizo ya mganga. Daaaaah
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.😭😭 Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
Naomba kujua ni kampuni ipi iliyo uziwa haki ya kuonesha ligi ya mabigwa mbona ubora wake uko chini mno aisee? Yaani ligi ya mabigwa utadhani unaangalia ndondo? dah ila Afrika sijui tutakuja...
1 Reactions
11 Replies
705 Views
Back
Top Bottom