Hapo niviongozi kutoka CAF wakipata chakakula wapo hapa nchini kuhusiana na Africa super ligi sasa najiuliza mbona cioni ata kiongozi mmoja wa 🌳🌳🌳🌳au wao sio super au basi.
"Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio...
Mimi ni mzalendo.
Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi.
Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio...
🚨Ni rasmi Kuwa CAF wamekataa ombi la simba kucheza saa 10 jioni mechi yao dhidi ya Raja Casablanca,na Badala yake mchezo utakua saa 1 usiku,hii ni kutokana na CAF kumiliki hatimiliki katika hatua...
Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
∆ Aghalabu, mcheza kamari akishinda, huanza kucheza zaidi kwa pupa huku akipuuzia mbinu za kuepuka hasara.
∆ Mcheza kamari akishinda mara nyingi hujisifia kwa mbinu bora aliyotumia katika...
Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara
Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni,
Sanaa na Michezo...
Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare...
Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya...
Wanasimbaaaaa!
Kwanza tukubaliane tuna game ngumu sana jumamosi hasa kutokana na historia ya timu za Morocco kuonea sana timu za Tanzania. Kuifunga Raja itakuwa historia mpya kwenye soka letu...
Ofisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kabla ya Februari 18, 2023 mzigo wa jezi mpya utakuwa umefika Tanzania ukitokea Ethiopia ambako umekwama.
Akizungumza leo...
Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball.
Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa...
Brendan Rogers anatajwa kuzaliwa mwaka 1973 , Northen Ireland , hivi sasa anatajwa kuwa na umri wa miaka 50 .
Taarifa zinadokeza kwamba kocha huyu alicheza soka kwa muda mfupi sana , akisajiliwa...
Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
Wakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.
Vile mnavyo kwenda kuandika...
Njoo wakuu tujadili na tutoe uchambuzi kuhusu kuhusu mechi hii kali ya UEFA na kusisimua
Njoo mtoe uchumbuzi mechi ya inaanza saa 5usiku
Mimi naenda na PSG
Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba"
Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya...
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.