Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona...
Bila huyu Mwamba jana Zingefika 5 😁 Wananchi.
Kama kawaida ya Wananchi uwezi kuwashinda vyote Wameupiga mwingi sana mpaka waarabu wakaomba pooooh!
Safiri hii kwa mkapaka hatudondoshi hata nusu...
Kwenye draft kete ya kuanza ndiyo huamua mchezo uendaje. Hivyo yafaa kujua jinsi ya kuanza.
Kuna kete mbili tu nzuri za kuanza bao. kete ya kati na kete ya pembeni kulia ije katikati. Kete zingine...
Sina hakika sana, kwahyo naweza nikawa sawa au nisiwe sawa pia.
Timu zetu za bongo tuna tabia moja mbaya sana, ambayo nadhani inatukosesha ushindi mara nyingi tunapokutana na timu za MATAIFA...
Wakuu habari za usiku..
Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema.
Je draft inaformula yeyote ambayo...
MGONJWA wetu pale Anfield yupo hoi bin taabani. Madaktari wamemzunguka na hawajui hata waanzie wapi. Mgonjwa anaumwa kila kitu katika mwili na kinachoshangaza ni kwamba ameumwa ghafla mno...
Mmeongea sana wachambuzi feki, kila mmoja akionyesha ufundi wa kuongea, kana kwamba Simba na Yanga ni Real Madrid au Barca, michuano ya Afrika imeanza na wababe hao wa bongo wamepoteza kwa namna...
Na Deus M Kibamba
Baada ya kutembelea Morocco na kushuhudia hamasa ya Wananchi wa taifa hilo kwenye soka na miundombinu mizuri na ya kisasa waliyonayo, nimeanza kushawishika kuwa inawezekana...
Nimejaribu kucheki video za hawa jamaa na Nimecheki mechi zao kupitia aplication ya kora online
Hawa us monastrs wana timu nzuri saana na wanacheza mpira wa kasi saana pamoja na nguvu kwahiyo...
Siku za Hivi karibuni mpira umekua Ushindi sio kusema umecheza Vizuri.
Na Mwasisi wa Mbinu hii ni Jose Mourinho alionekanaga mhuni mwanzoni ila baadae ameanza kueleweka yeye atakuacha ucheze Mpira...
Habari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa...
Mechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu.
Japo jezi hajichezi...
Leo jioni majira ya saa Moja kamili kwa saa za Afrika Mashariki ndio rasmi inaanza ile safari iliyosubiliwa kwa muda mrefu na Wananchi wote Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuona mojawapo ya timu...
KIUNGO Mbrazili wa Singida, Bruno Gomes amenifikirisha mambo mengi. Mengine ya kijinga mengine ya maana. Ameendelea kutamba katika Ligi Kuu kwa mara nyingine tena. Juzi alimtungua Aishi Manula bao...
Jana simba walipocheza na Horoya fc, wachezaji walipata shida sana maana wale jamaa ni warefu sana, kilichowapata Simba jana, leo kimewapata Yanga. Mabeki wafupi wa Yanga ni mzigo kwa michuano ya...
Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine...
Ni sehemu gani kwa Dar mimi ni mgeni hapa Dar nina mwezi mmoja tu ni sehemu gani sasa hapa Dar ni mzuri kufanya gym na bei cheap ila iwe classic isiwe uswahilini
Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.
Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.