Ni takriban kilomita 300 kutoka Iringa mjini kwenda Iringa vijijini tarafa ya Idodi.
Ni Tungamalenga, tulifika huko kwa ziara ya Siku mbili. Shoo inaanza ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara siku...
Yanga turudie imani ile ya jezi nyeusi jezi ya kiama jezi ya moto. Najua wengi watanitukana na kuniambia kuwa jezi nyeusi haichezi mpira. Ila jezi nyeusi ni imani ambayo wana Yanga wamejiwekea...
Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya...
Pls nahitaji hii jezi wapendwa nisaidien maana vunjabei kaamua kutuvunja moyo na marangirangi yake kama upinde
Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule...
Kwa sasa mpira ni Biashara kubwa sana Duniani, mpira umekuwa ukichangia kukua kwa Uchumi kwa kutoa ajira, kukuza mitaji na kukuza biashara.
Timu za Simba na Yanga ziko kwenye ushiriki wa ligi za...
Mashabiki wa klabu ya Unisport FC de Bafang walivamia uwanja na kuwapiga waamuzi baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2 dhidi ya Victoria United katika mchezo wa mzunguko wa 13 wa...
Baada ya kipigo cha mbwamwizi cha 3-1 ilichopokea timu ya Alnasa jana na kufurushwa kwenye kombe ktk nusu fainali
Mashabiki wameanza kumgeuka Ronaldo na kumsema kuwa hana mchango uwanjani...
Yanga wana mpira wa zamani saana ndio maana wanafeli kwenye michuano ya kimataifa
Na tusipo badirika hata wale wa mali tutakwenda nao 0-0 tena kwa mkapa
Kwanini tunapenda mpira wa short pass...
Nilishalisema hapa huko nyuma na bado nitaendelea kusisitiza, kumtegemea Fiston kule mbele peke yake kutaendelea kutughalimu mpaka kuja stuka tutakua tumechelewa sana!
Kuanzia hapa nyumbani na...
Wana Simba wenzangu igweee........
Kwanza kabisa Nitoe pongezi kwa timu yangu pendwa ya [emoji881] Kwa mchezo safi iliyouonesha huko nchini Guinea. Japokuwa tulichapwa bao Moja ila angalau timu...
Tuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake
ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa...
Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika...
Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.
Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi...
Wazee wa Kazi tumeshaingia Kazini kuifanyia Kazi Maalum Klabu yetu ya Simba SC hivyo tunatoa ONYO KALI kwa wale Wapuuzi wanaocheza Jumapili kuwa kama huna Shughuli usithubutu Kusogea Uwanjani na...
Ni Tanzania tu Kila Shabiki hasa wa YANGA ni KOCHA, anapanga timu itakayoanza nani atoke nani apige kona nani kakosea kutoa Pasi ili mradi Mashabiki wanajua kuliko KOCHA wa TIMU.
Mashabiki wa...
Habari wakuu
Ningependa kutoa rai kwa kocha wetu Robertinho ikiwa chama, Saidoo, Sakho, Phiri, Baleke wako vizuri, basi ujuaji na ufundi uliopitiliza na kujaribu mifumo aweke pembeni kwanza...
Wasalaam JF
Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa.
Kama ni kula nakula kweli...
Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.
Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.
Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.
Na kubwa anapiga mipira...
Ninaamini kuwa tunahitaji mabeki warefu lkn wenye maarifa, ufundi na ujasiri wa kuruka. Mabeki wa Simba si wafupi, lakini juzi waliruhusu goli rahisi sana la mpira wa juu. Aidha, kabla ya hilo...
Timu imeongeza kujiamini na inacheza bila hofu ugenini. Hii ni tofauti na zamani. Pia timu inaonekana kuwa na mipango (with and without balls). Mapungufu ya aerial balls ni janga la dunia nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.