Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpaka sasa hatusikii wachambuzi na vyombo vya habari vilivyokuwa vikizungumzia swala la FEI TOTO wakiwa wanamzungumzia tens saizi wapo kimya na huenda walisha sahau na siku zote vitu vya kuambiwa...
11 Reactions
110 Replies
6K Views
Baada ya mechi ya raja casablanca vs vipers kumalizika nimeona makolo wengi wakijitamba kwamba vipers ni wabovu na ndio timu ambayo wanatakiwa kuchukua points 6. Ukweli ni kwamba vipers sio...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Uamuzi wa kutozwa faini ya Pauni Milioni 1.4 (Tsh. Bilioni 3.9) umetokana na kipa huyo mkongwe kuikosoa klabu kwa uamuzi wa kumfukuza Kocha wa Makipa Toni Tapalovic. Neuer (36) yupo nje ya uwanja...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa wapinzani wa Simba kutokea nchini Guinea Horoya Athletic club ni wabovu sana aisee, Hawawezi hata kupasiana pasi tatu, hawawezi hata kufungua vyumba, wazito hakuna mfano, Yaani utafikiri ni...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Awa Horoya kwakweli ni famba sana aina yao ya uchezaji sijaielewa kabisa, Ni timu ambayo kiwango chake kiko chini sana labda kama wanayo aina nyingine ya uchezaji ambayo awakuitumia leo, lakini...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake Namaanisha nini? SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi...
42 Reactions
80 Replies
5K Views
Ukimuona mwarabu sehemu tegemea uharubifu,ujinga na uchafu uchafu nwingi Chukulia mfano Tanzania, waarabu wameiharibu nchi yetu kila kitu wanahonga ,wanatoa rushwa,wananunua upendeleo Kule...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Wengine tumechekwa leo ila nasi tutawacheka zaidi Kesho huko waliko na ikitokea hivyo kweli Watuvumilie tu na Wawe Wapole hasa kwani kuna tofauti Kubwa kati ya Namba Moja na Namba Sita au Saba.
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Kipindi cha Kwanza Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half...
3 Reactions
8 Replies
986 Views
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu. Hakuna mtanzania mwenye...
5 Reactions
71 Replies
9K Views
Ni ule wakati uliokuwa ukisubiriwa na wengi Tanzania na Afrika kwa ujumla, ni Simba vs Horoya AC, Caf champions league hatua ya group stage. Mchezo unatarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00 jioni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba. bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela...
10 Reactions
58 Replies
7K Views
Ukilewa utaona tu kibwana shomari Ni sawa Mohamed Huseni. Au kishabiki Dickson job Ni sawa na Onyango au Yanick Bangala anacheza Kama Inonga. Au Aucho Ni Puten kabisa. Lkn tukumbushane tu...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
1. Baridi Kali 2. Baridi Kali 3. Baridi Kali 4. Baridi Kali 5. Baridi Kali 6. Baridi Kali 7. Baridi Kali Kila la Kheri Watunisia hiyo Jumapili.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka ya 2008-2009 Hashim Thabit Akiwa bado ana umri mdogo, alionekana kitaifa baada ya kufikisha wastani wa alama 13.6 na alama 10.8 ya mipira ya kurudisha. Alianza kujikita zaidi...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwenye kujua sababu za Ntibazonkiza kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaosafiri kwenda Guinea kuivaa Holoya atueleze. It is said kwamba hayupo cup tied coz hajacheza mchezo...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
TVISIT TANZANIA Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo. Tangazo Muhimu kama hili unakuja na...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom