Wanabodi ni katika kutaka kufahamu na kuelimishana, mfano, iwapo Nchi ilikuwa inatambuliwa na Mashirika haya yanayoongoza mpira (FIFA, CAF) baadaye ikakiuka mambo fulani na kupelekea kufungiwa, na...
Katika msimu huu wa 2022/2023 kuna klabu zimesajili wachezaji kwa gharama kubwa na wameshindwa kuonesha thamani yao halisi uwanjani lakini magazetini, mitandaoni na wanazi wa vilabu vyao wamekua...
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na...
Tambuweni haya maandiko yanawahusu
Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza...
Leo hii Lebron James anaivunja rekodi hiyo na atakuwa kinara wa mabao huko NBA kwa sasa King 👑 James hana mpinzani na inaaminika huenda akajengewa sanamu lake pale Ikulu ya Marekani.
Huyu Lebron...
Huyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana.
Nadhani Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake. Always ana...
Hivi Uongozi wa Simba kwanini usitoe masharti kwa Vunja bei yenye kumfanya atengeneze jezi zenye viwango vyao klabu kama Simba? Yaani kitendo cha kumpa mkataba ambao haumbani ndio kinachofanya...
Niliposomea Graphics Design lile Neno linasomeka hivi,
"TVisit Tanzania"
Na
Sio
Visit Tanzania [emoji1
241]
[emoji846]
Wataalam wenzangu wa IT Njooni tuwaelimishe hawa Graphics Designers wa Makolo Fc
Ronaldo amezidi kujiweka ktk hali mbaya zaidi kuhusu mustakabali wake anavyoenda kumaliza mpira
Club ya Juventus imepokwa point nyingi sana na kusababisha iondoke kwenye nafasi ya tatu na kwenda...
Yaweza kuwa ni kwa matokeo ya kushangaza au ya kawaida tuu, Yaweza kuwa ni burudani ya pasi na udambwi dambwi wowote ule.
Mechi zangu mimi ni hizi.
1.Germany 7-1 Brazil kwenye World Cup...
Huwa nasema timu za Kariakoo ni Kulwa na Doto na àmbao tulishafanikiwa kuvuka mitego ya siasa zake tuna Amani zaidi.
Miaka ya 1990 Simba walikuja na Nick name ya Simba TAIFA KUBWA na ikahit...
Jana kwa mara ya kwanza Ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko Uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Cristiano Ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani...
Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.
Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili...
Nsikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.
Kwanza kabisa nikiri,mimi ni mpenzi na shabiki mkubwa wa Dar Young Africans au kwa Kiswahili Yanga.
Klabu hii imepitia changamoto sana hasa wakati...
Mkiambiwa hawa Wawili ni Ndugu, wako Kimkakati zaidi na lazima Wote waigane na Wao ndiyo wanatengeneza Mamlaka na wana Nguvu na Ushawishi hata kuliko akina CCM na CHADEMA muwe mnaelewa.
Kila la...
Maandalizi yote ya tukio letu yamekamilika. Muda mfupi kutoka sasa tukio la wenye nchi tukiiweka nchi mbele litaanza.
Tunakwenda kuzindua jezi za Simba za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na...
content
AUDIO instrumental VIDEO
search
VIDEO May 17, 2018
New VIDEO: Khaligraph Jones x Msupa S – Watajua Hawajui
New VIDEO: Khaligraph Jones ft. Msupa S – Watajua Hawajui DOWNLOAD ...
Na Deus M Kibamba
Morocco: Nilitembelea viwanja mbalimbali vya mpira wa miguu nchini Morocco kwa lengo la kuvipima kwa viwango vya kimataifa vinavyowekwa na FIFA na CAF kwa ajili ya michuano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.