Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150. Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani...
6 Reactions
95 Replies
5K Views
Maelezo ya SportPesa Sisi tunajua kuwa hatua ya makundi hatuwezi kukaa kwenye jezi za Yanga na tulijadiliana cha kufanya ikiwamo kuwapa LiveScore ambayo walisema inahusika na beting na...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting. Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao? Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Wangapi wanacheza chess hapa
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Yani kuna timu ikishinda Kama imefungwa imefungwa tu, yani wakishinda wapo nafasi yapili , wasiposhinda wapo nafasi yapili wakifunga magoli mengi bado wapo nafasi yapili...
1 Reactions
10 Replies
628 Views
🇿🇲 Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco . 🏟 Mechi 2 ⚽ Magoli 3.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Aziz K ni kama Chumvi tu mbele ya Chakula cha Chips kilichopo mbele yako ila Clatous Chama ni Tomato Sauce mbele ya Chips. Chumvi ( Aziz K ) huwa si lazima sana Kutumika na Mlaji tena hasa akiwa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya...
9 Reactions
268 Replies
14K Views
Baada ya pitso mosimane kuondoka nchini misry na kuachana na mabingwa wa kihistoria Al ahly, kuna wabongo wa kukariri mpira walianza malalamiko na makasiriko kwamba al ahly watapata tabu 😅😅😅 sasa...
1 Reactions
7 Replies
963 Views
Real madred Barcelona Bayern munich Man united Man city Liverpool PSG A madrd Chelsea Inter milan Ac mila Juventus Dortmund Olympic de marseill Porto Halafu zote zikiwa kwenye ubora...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kila tukijitahidi kuomba mdondoshe point hamdondoshi. Kila tukijikakamua kushinda na nyie mnashinda mnatufanya tuweweseka sana. Nachukia kuitwa ngada fc malalamiko fc
4 Reactions
14 Replies
723 Views
Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya...
2 Reactions
12 Replies
802 Views
Lionel Messi hadi sasa ni kiumbe ambae hatujui ametokea sayari gani kiufupi ni kiumbe Wa ajabu. Ukijaribu kung'amua macho kwenye league zote hamna Wa kumlinganisha na huyu jamaa...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Nadhani paka hapa ligi ya Nbc ilipofikia ni wazi itakuwa ngumu sana kumkamata mtani wetu Yanga kwani hakamatiki Wala hazuiliki. Tuipokee nafasi ya pili Kwa mikono miwili[emoji2969][emoji2969]...
3 Reactions
12 Replies
848 Views
Wale mabingwa Kwa kutandaza soka safi, soka maridadi soka lenye ladha ya asali hapa nawazungumzia Young Africans jioni ya leo majira ya 12:30 watashuka katika dimba [emoji2522] la Benjamin Mkapa...
13 Reactions
281 Replies
13K Views
Hili Buku langu la Kiingilio Kibanda Umiza ni bora tu nikanunue Maziwa ya Mtindi ya ASAS au TANGA FRESH ninywe niboreshe Afya yangu kwa Nsajigwa kuwa Namungo FC tunaoujua vyema Mpira wa Bongo hasa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anajua kilichopo nyuma ya pazia basi atujuze. Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues...
7 Reactions
84 Replies
4K Views
Goal keeper: 1.kasper schmeichel 2.Christian fuchs 4.Robert huth 3.danny simpson 5 Wes Morgan 6.ngolo kante 8 drink water 7. Mahrez 11.albrighton 9. Vardy 10 .okazaki Kwa hiki kikosi cha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye...
4 Reactions
15 Replies
675 Views
Back
Top Bottom