Inawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi.
Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo...
Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana...
Nimemuona Jana tena kwa Jicho langu Kali la Kiuchunguzi na Kimaono na kugundua kuwa Mshambuliaji Moses Phiri bado hajawa Fiti kuanza Kucheza Mechi zozote zile.
Najua kuna Majuha ( Fools )...
Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars.
Mechi...
Simba Sports Club and M-BET Tanzania have signed a five-year sponsorship deal worth Sh26.1 billion. The deal is the most lucrative in Tanzania football and historic for the Msimbazi Street giants...
Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yaliyokuwa yanamkabiri ikiwemo unyanyasaji wa kingono dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake.
Taarifa kutoka Polisi wa Greater Manchester ni kuwa hawatotoa...
Makampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana...
Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua...
Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki.
Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema...
Kuna mengi yanaongelewa mpaka sasa kuhusiana na jezi mpya za Yanga chini ya udhamini wa Haier. Sitagusia kuhusu migogoro hiyo ya mikataba ila nitaongelea kuhusu uchaguzi wa rangi ya blue katika...
Mimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka;
1. Robben na Ribery katika wingi ya Bayern Munchen
2.Andreas Iniesta na Xavi Hernandez katika kiungo cha Barcelona
3.Rio Ferdinand...
Wasaalam,
Kila siku tumekua tukisema hakuna kitu kibaya kama kufanya mikataba ya kisirisiri, tatizo Hili kubwa halipo kwenye mpira tu Bali hata kwenye mikataba ya kiserikali, wananchi ndio tuna...
Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa...
Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa.
Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe...
Sitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada,
Jumapili kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Simba, wakati tukisomewa mapato na matumizi ya klabu, tulitangaziwa kuwa imetumika Tsh bilion 2 kufanya usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.