Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa
Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga...
Dunia haipo sawa kabisa,
Hawa jamaa wametumia zaidi ya pauni mil.550 tangu timu ichukuliwe na bw.todd boehly septemba mwaka jana.
Hii pesa ni zaidi ya bilioni 1000 za kibongo hawa jamaa...
KOCHA wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho ametua Dar es Salaam leo usiku na atakuwa mazoezini asubuhi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars Ijumaa.
Kocha...
Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana.
Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena...
PMBET Promo code Jaza A84 pmbetTANZANIA, Hii ni kampuni inayojihusisha na michezo ya kubeti Tanzania, ndani ya pmbet unaweza kubashiri au kubeti michezo mbalimbali, pia unaweza kucheza michezo...
Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza...
Kitendo cha mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu kurud tena madarakani kwa miaka 4 tena kimepokewa kwa huzuni na masikitiko makubwa na wanachama wengi wa Simba, wengi hawakuridhishwa na uongozi...
Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa...
Zipo taarifa kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya kundi la Friends of Simba kuhusu viongozi waliochaguliwa, wapo waliosema wanaunga mkono viongozi anaowataka mwekezaji na wengine wanaona maslahi...
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka
Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho...
Ikiwa kesho ndio tarehe ya uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu ya Simba, shime kwa wanachama wote wa Simba ambao wamelipia kadi zao kesho tujitokeze Kwa wingi kumchagua ndugu yetu Murtaza Mangungu...
Wakuu,
Yanga leo wametambulisha top striker kutoka Zambia Kennedy Musonda ambaye pia ndio kinara wa magoli ligi ya Zambia.
Wapinzani wetu wamesajili mshambuliaji hatari na mbadala wa Fiston...
Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu...
Watu wameanza kuwatetea Simba juu ya sintofaham ya mapato ya timu hiyo kama yalivyolipotiwa leo kwenye mkutano mkuu. Sintofaham hiyo inatokana na utofauti wa kiasi cha fedha kutoka kwa M-bet...
Ni Jumapili nyingine tena tunakutana katika mpambano wa kukata na shoka ambapo mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup, Young Africans wanashuka uwanja[emoji2522] wa Benjamin Mkapa kuwakaribisha...
Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia...
Wakuu kwema?
Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board.
Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti...
Manchester City ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika jiji la Manchester, Uingereza, ambayo inashiriki katika Ligi Kuu ya Uingereza.
Timu ya Manchester City
Ulianzishwa mwaka 1880 kama St...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.