Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Chonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
1 Reactions
9 Replies
557 Views
Baada ya yanga kupewa jina la wala mihogo mimi nilitabiri kuwa jina hili litakuwa na bahati yake kwenye mashindano haya Na leo nimekuja kusema kuwa yanga ndo atakuwa bingwa wa shirikisho najua...
2 Reactions
6 Replies
558 Views
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa Amebaki...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Wajuvi wa siasa na harakati za nje ya uwanja inapokuja mechi ya Simba na Yanga embu tuelimishane. Wote tunakumbuka Clautus Chama alipotolewa katika mechi na Mbeya City alikwenda moja kwa moja...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba...
16 Reactions
445 Replies
45K Views
Kazi iendelee. Kuna hali Fulani ya kushuka kwa soka bongo inaonekana hasa katika kipindi hiki ambacho Alhaaji Bingwa gwiji Haji Manara kufungiwa kujihusisha na soka. Mimi sio mfuatiliaji sana wa...
1 Reactions
7 Replies
489 Views
Kuendelea kubaki na pesa uliyonayo ni muhimu kama vile kutafuta nyingine..., na wikiendi hii ya FA CUP ninawashauri wadau wakae likizo..., Sababu historically FA Cup huwa ina Upsets nyingi sana...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na...
15 Reactions
81 Replies
5K Views
IMANI KAJULA NDIYE CEO WETU MPYA uongozi wa Klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) kwa mkataba wa miezi sita✍️ Kajula anachukua nafasi...
6 Reactions
43 Replies
8K Views
Acha niandike kimipasho. Yaani ronaldo analipwa pesa nyingi na kashindwa kuipa ushindi timu yake jana...wakafungwa 3-1 na Al Ittihad wakiwa nusu fainali ya Saudi Super Cup. Huyu sio mbuzi wangu...
5 Reactions
7 Replies
557 Views
Lebron James and Giannis Antetokounmpo will be captains in the 2023 NBA all star game Eastern conference starters .Giannis Antetokounmpo (Milwaukee bucks) .Kevin Durant (Brooklyn nets) .Jayson...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba. Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tupo vizuri,maboresho tuliofanya dirisha dogo hili yamelipa vizuri. Sasa shida tuliyonayo ni washambuliaji wa pembeni,ni wazi wamekua wakipoteza nafasi nyingi.. Kocha Nabi style ya sasa ya...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa...
13 Reactions
105 Replies
7K Views
Hapa tanzania hakuna uchaguzi bali kuna kuchagua hakuna sehemu yoyote unayoweza kupinga. Kulalamika kwenu vijiweni nyie utoporo kuwa tumepanga sio uchaguzi CEO. mbona nyie la kwenu mlipanga na...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Anachukua nafasi ya Barbara Gonzalez
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu na kiongozi wetu, Kipindi chote cha utawala wako hukuwa tofauti na wajumbe wengine wa bodi. Umeshindwa kabisa kuonekana ni mwakilishi wa wanachama. Matawi ya Simba hamasa imekufa na...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Salaam! Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua za kubembeleza ili arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume. Sasa...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Oi oi oi, Wakuu leo nataka kufahamu kwanini Ulaya wanacheza mpira mzuri sana? Naangalia memchinya ARS na MUN, wanacheza vizuri sana bila kuvunja sheria za mpira. Kulikoni huku kwetu watu...
0 Reactions
21 Replies
767 Views
Katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa Mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom