Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ladies First ni mashindano ya riadha kwa wasichana wa Tanzania, yalianza kushindaniwa mwaka 2017 kwa hisani kwa udhamini wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA. Mashindano haya yalibuniwa na...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Murtaza Mangungu ameshinda katika Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kwa kupata kura 1,311 akimshinda Moses Kaluwa kwa tofauti ya kura 266 huku kura 7 zikiharibika. Walioshinda nafasi ya ujumbe wa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni mwenyekiti tuliyemtaka aendelee kuhudumu pale ukoloni na tumefanikiwa pakubwa, Wanayanga endeleeni kutembea kifua mbele kikubwa ni kutengeneza kabati jingine la makombe, mission imekamilika...
1 Reactions
5 Replies
573 Views
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya...
46 Reactions
297 Replies
33K Views
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Anaandika Kenge, JMT: Kazi iendelee. Kwanza tuwapongeze Azam kwa jitihada wanazofanya kwenye sekta nzima ya sanaa, Burudani na Michezo kwa ujumla. Wakati huko Duniani (Wazungu) Mabondia kama...
14 Reactions
12 Replies
1K Views
Sikuwahi kujua kama viongozi wa hivi vilabu vikubwa wanawadharau kiasi hiki mashabiki wao. Kitendo cha kumleta Manzoky ili kuwarubuni wapiga kura ni cha kusikitisha sana. Ninakumbuka aliyewahi...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama umefuatilia taarifa ya mapato na matumizi ya Simba Ni vitu viwili tofauti Kati ya mapato ya club kuanzia udhamini mpaka vyanzo vingine vya mapato kweli itachukua muda kukua kisoka. Watasajiri...
0 Reactions
2 Replies
293 Views
Liverpool FC sasa itakwaana na Real Madrid katika mchezo wa Fainali unaotarajiwa kupigwa katika dimba la Olympic National Sports Complex huko Jijini Kiev nchini Ukraine Mchezo huo utapigwa tarehe...
5 Reactions
111 Replies
14K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Agosti 4,2022 amefungua mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Misimu iliyopita tulikuwa tunakula burudani ya Kombe la FA kupitia AzamTv Sasa hivi michuano inaendelea AzamTv haoneshi labda ile Carabao Cup. Sasa kama mnashindwa kuonesha Emirates FA Cup...
0 Reactions
3 Replies
823 Views
Manzoki kaonekana uwanjani Leo kwenye mchezo na Coastal Union na kwa jinsi tunavyojua viongozi wamemleta ili kumpigia debe mgombea mmoja aonekane ni mkweli kwenye hoja zake za kuomba kura...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimeona ktk seria a ya kule nchi Italy timu yangu pendwa Bibi kizee wa torini ameshushwa had nafsi ya kumi na 11 katk msimamo wa msimamo wa ligi hyo na kupelekea torini kusalia nafsi ya 11 na...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, Yapo mengi tunaweza kuyataja kama mapinduzi ya uendeshaji timu kisasa yaliyoanzishwa na Simba. Leo ningependa kutaja eneo moja ambalo miaka michache ijayo tutaelewa hii project. Simba...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Bondia wa Tanzania, Ibra Class (Mawe) amemshinda kwa TKO dhidi ya Bondia wa Zimbabwe, Ndodana Ncube. Pambano hilo lilikuwa la roundi kumi lakini kufikia roundi ya nane Ndodana Ncube kuanguka na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Niko natizama pambano la Dulla Mbabe na huyu Mmalawi naona dulla ameimalika zaidi, acha tusubiri matokeo.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
UCHAGUZI WETU KESHO. Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachama😳; Hivi kuna Transformation hapa? Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za...
0 Reactions
4 Replies
504 Views
Sasa kama mmempa Imani Kajula kuwa CEO wa Simba SC kwa hii Miezi Sita ( 6 ) tu kwanini msimuite Kaimu CEO ili tujue moja. Acheni kudhani wana Simba SC wote hawana Akili kama mlivyo sawa? Hivi...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Mechi tayari imeanza na saizi ni dakika ya 20 Matokeo Bado ni 0-0 OKW BOBAN SUNZU nilijua Ile post Yako kuhusu hamu ya kuiona Simba inacheza itakufanya uanzishe Uzi wa update
4 Reactions
81 Replies
4K Views
Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na...
9 Reactions
406 Replies
28K Views
Back
Top Bottom