Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini. Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari wanamichezo. Hivi karibuni zimeibuka tetesi Simba SC wanahitaji kuajiri kocha mkuu na kocha anaepewa nafasi kubwa ni yule Mbrazil wa Vipers. Kwa mtazamo wangu naona Simba SC wanajiandaa...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa. Simba ambayo inashuka dimbani leo...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Yakiwa yamebaki Masaa yasiyozidi therathini kwa Timu zetu za Kariakoo kurusha karata zao katika mashindano ya kimataifa, ghafla nazinduka usingizini baada ya kuyakumbuka maneno ya mzee mmoja...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta. 2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola. 3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na...
27 Reactions
76 Replies
6K Views
Wakuu Siku ikitoka ahadi ya pesa tafadhali tuchague watu wa hayo makabila wakapambanie kombe muone kama hawashindi. Pesa umuahidi mchaga aiache? Kwa mbinu zozote lazima aipate. Umuahidi muha...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi...
24 Reactions
120 Replies
9K Views
Its Super Saturday!! Ni banduka bandua katika ligi ya mabingwa Africa leo. Vibonde wa kundi C, Vipers SC ya Uganda leo watashuka dimbani pale St. Mary's Stadium, Kitende kuwakaribisha Horoya AC...
8 Reactions
112 Replies
6K Views
Aston villa 2 Arsenal 1 Game on
0 Reactions
15 Replies
553 Views
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points. Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga...
2 Reactions
2 Replies
442 Views
Imekuwa ni kawaida kwa wanadamu kufanya Dua/Sala zao za mwisho pale mauti yanapowakaribia. Hivyo Kwa mwana Simba yeyote aliyepo mahali popote muda ndio hivyo unayoyoma hebu mgeukieni Mola wenu kwa...
4 Reactions
6 Replies
366 Views
Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi...
3 Reactions
13 Replies
866 Views
Nasikia mama katoa milioni 5 kila gori ila kiukweli hizi timu zikiwa ndani hapa unasema ni bora ila zikiwa nje ni mbege ya moshi. Tunaitaji kufumua soka la ndani kwanza tutaendelea hivi hivi...
2 Reactions
4 Replies
328 Views
Naona zimeanzishwa nyuzi nyingi humu za utabiri wa Raja kumshushia Simba kipigo, binafsi pamoja na ushabiki wangu wa Yanga lakini inapofikia mechi ya kimataifa uwanja wa Mkapa kwa timu ya Simba...
3 Reactions
6 Replies
380 Views
Tangaza kwa wana simba wote Leo hakikisha umekula na kushiba vizuri Na ukiona kama unaumwa naomba usiende kuangalia mpira Sina mengi ya kuwambia ila nitacheka tu kidogo...
0 Reactions
10 Replies
592 Views
Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Ukiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini. 1. Kuwa na mabeki wafupi eneo la kati ni...
31 Reactions
80 Replies
5K Views
Oy wanangu nilikuwa napitia pitia misimamo ya ligi tofauti nikakutana na serie A aseee Moto wa napoli ni wa kuweka mbali na watoto yaani 23 games 62 pts khaa asee hii nongwa sana team ya pili...
0 Reactions
6 Replies
670 Views
Back
Top Bottom