KUNA WACHEZAJI WAMERIDHIKA HAWATAKI KUBADILIKA.
“Kuna wachezaji wameridhika hawataki kubadilika hauwezi kuwa timu kubwa kama Yanga na akili yako haitaki kwenda mbele
Kuna wachezaji Wapo Yanga...
Kocha wa Yanga akumbushwe kwamba TP Mazembe siku zote wanacheza mpira wa kujiami sio ugenini au nyumbani kwa hiyo akija na mpira wake ule wa kutafuta possession na kushindwa kupeleka mashambulizi...
Wakuu,
Hivi kweli tumeshindwa kutunza huu uwanja? Usafi wa vyoo na maeneo mengine imekuwa tatizo sugu lakini aibu kubwa zaidi ni sasa hata pitch imetushinda.
Ni aibu National Stadium nyasi...
Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili.
Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
Hawa jamaa wanalipana mishahara kwa wiki.
Wataalam wa mahesabu njooni mtuambie kwa pesa zetu za kizalendo Ni Kama shilling ngapi?
Wataalam wa michezo njoo mtwambie tunafanyaje na sisi tufike huku?
“Simba imepungua ubora kidogo, lazima tuwe wakweli. Kwanza kuna nyota wetu ambao ubora wao umepungua kidogo kwa sababu ya kuchoka, wamefanya kazi kubwa kwa miaka 5, wamecheza sana kwa miaka yote...
Kutoa motisha mbalimbali kwa Wanamichezo imo kwenye Ilani ya CCM
Rais Samia amefanya jambo jema na Ndio sababu Simba na Yanga zikawa na morari ya hali ya Juu ya kutafuta magoli
Kwaresma njema!
Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba.
1. UBAHILI
2. KIBURI
3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI
Hakuna timu Ambayo...
Huu ni weledi gani kwa TBC?
Iweje mtumie matukio ya Simba kuhusianisha na ushirikina?
Mmekosa namna bora ya kuwasilisha habari yenu bila kuitaja Simba?
Bila shaka mtalifanyia kazi na kuwahoji...
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Young Africans jioni ya leo majira ya saa 10.00 watashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Kinondoni Municipal Football Club ( KMC ) katika...
Mpaka sasa ni kama hamueleweki nani hasa mnamuangushia jumba bovu au mnamtoa kafara kuhusiana na matokeo mabovu ya timu yenu.
Ni kama hamuelewi nani hasa anahusika na matokeo mabovu ya timu. Wapo...
Ni wachache wanaofatilia mchezo huu ukilinganisha na michezo mingine.
Kitu ambacho wengi tunachofikiria ni mchezo kama mchezo wa mbio za magari.
Ni kweli ni moja ya mbio za magari ila mchezo huu...
Kwa namna hali ilivyo tu, ukiangalia unagundua kila kitu kuhusu Simba SC hakiendi sawa tangu miezi ya mwisho ya Barbara kuelekea kuondoka Msimbazi.
Ni kama Mo kasusa timu, wachezaji hawana mori...
Wakuu,
Matokeo ya weekend yametuvuruga Simba kuanzia mashabiki, wachezaji, makocha hadi viongozi! Ni kama hakuna anayejua tumekosea wapi.
Kuna tetesi mitandaoni kuwa kocha Robertinho amepewa...
Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!!
Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma
Hongereni...
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.
Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni...
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi.
Falsafa alizokujanazo Mbrazili...
Djigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.
[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10
[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.