"Kupitia Birthday Party yake hii Rafiki yangu mkubwa Haji Manara na Mimi Diamond Platnumz leo natangaza rasmi Kuhamia Yanga SC kwa Kuishabikia kwani Kwangu Mimi alipo Manara na Mimi nipo huko...
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania Feisali Salum Abdallah “Feitoto” amewasilisha juzi maombi yake kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa TFF akitaka Kamati ya hadhi na haki za wachezaji na wanachama ipitie...
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo ndiyo taarifa rasmi. Ni mshtuko mkubwa. Watu hawaelewi. Sababu haijulikani. Mchezaji tegemeo Clotous Chama almaarufu mwamba wa Lusaka hajasafiri na timu yake kwenda...
Hii ilitokea 1995 Mchezaji huyu kwa ujanja wake alimdanganya Kocha msaidizi na kuingia kwenye game kama Sub..., Na isingekuwa kufunga kwake mabao mawili ingekuwa ndio mwisho wa Career yake...
It...
Mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania ambao pia ndio vinara wa ligi ya Nbc Dar Young Africans almaarufu Yanga leo wamemtambulisha beki kisiki cha mpingo raia wa Mali.
Usajili wa Mchezaji huyo...
Yaliyomo yamo, habar kamili [emoji116]
Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu ameeleza kuwa basi la timu hiyo limeuzwa na halipo kwenye matengenezo tofauti na ilivyoelezwa hapo awali...
Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea.
Alves (39), anadaiwa...
Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono...
Mbunge wa Misungwi, mmiliki wa timu ya Gwambina Alexander Mnyeti ameibua hoja zinazoonesha kuwa na rushwa katika mpira wa Tanzania.
"Wale watu wanataka uje kwenye mpira kwa ubabaishaji wakikuomba...
Binafsi imeniuma sana kusikia Chama, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Ntibazonkiza, Sakho hawatakuwepo kesho. Hii ina Maana kwamba Kikosi cha mapinduzi ya Zanziba; Ndio watacheza kesho
Sababu Sijajua...
Bondia Mtanzania Karim Mandonga amekabidhiwa gari aliyoahidiwa endapo angeshinda pambano lake nchini Kenya, amepewa zawadi ya gari hilo aina ya Nadia na Mfanyabiashara Dick Sound bila mashariti...
Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji...
Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022.
Pamoja na kuwa...
Yaani Matajiri wote waliopita Yanga SC yako ( tena waliokuwa wakimzidi Pesa ) Boss na Tajiri yako Gharib Said Mohammed ( GSM ) Marehemu Mzee Mengi na Panjuani Manji walishindwa leo ndiyo Wewe...
Mbiringe au Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea leo January 18, 2023 ambapo Wataalamu wa kusakata kabumbu lenye viwango vya CAF, baada ya kuweka kambi kwa siku kadhaa nchini...
"LIGI yetu inaeendelea"."Ligi yetu imepiga hatua".Hizi ni baadhi ya kauli za watu ambao wamekuwa wakijitokeza na kusema hivyo.
Binafsi sidhani.Kwani maendeleo ya ligi kuu huwa yanatazamwa kwa...
Uswekeni nani anataka kwenda kuishi kwenye vumbi jangwani,[emoji16]
Ronaldo alikataliwa Ulaya akaona bora akavune mapesa tu
Kiungo fundi wa barcelona sergio busquets amekataa ofa ya nabilion kwa...
The NBA has 30 teams, but after Kevin Durant decided to sign with the Golden State Warriors in the summer, it feels like there are only two.
Those two, of course, would be the Warriors and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.