Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu. Nauliza hapa Simba walipoenda huko...
15 Reactions
71 Replies
3K Views
Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia...
1 Reactions
10 Replies
765 Views
Mpaka ninavyoandika kuna Mechi Kati ya Newcastle United na Fulham ikiwa ni dakika ya 77. Dakika ya 74 Fulham walipata penati baada ya VAR kuonyesha mchezaji wa Fulham alikwatuliwa akiwa ndani ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Labda ni instinct au over confidence, lakini nina imani Spurs anaenda kushinda mchezo huu. Pressure ya the gunners iko juu, Conte ana hasira ya kuprove, Wachezaji wa Spurs have nothing to lose...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwenyewe anasema ni ngumi kiboko, ngumi fungakazi, ukikaa kulia unayo, ukikaa kushoto unayoo. Anasema ni ngumi inayokata kona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Klabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa? Mwenye rekodi tofauti...
7 Reactions
83 Replies
4K Views
Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao. Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Labda ni instinct au over confidence, lakini nina imani Manchester United anaenda kushinda mchezo huu. Team spirit iko juu, team form ipo juu, tactically wameanza ku-improve. Niko tayari...
21 Reactions
76 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Machampion watetezi wa ligi kuu ya Nbc na kombe la Azam Federation Yanga jioni ya leo imemtambulisha mshambulia wa kimataifa wa Zambia Kennedy Mussonda kutoka klabu ya Power Dynamos Fc ya huko...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimepitia asubuhi mtandao wa livescore kuangalia gemu za Leo ili nitumbukize mzigo, nimeona kwenye sehemu za club friendlies kuna gemu nzito baina ya CSKA Moscow na Simba, hiyo ni fursa kubwa kwa...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Klabu ya Simba Sports Clubs inatarajia kushuka dimbani kuikabili Timu ya CSKA Moscow ya Urusi. Mechi hiyo ya Kimataifa ya kirafiki itapiga majira ya saa Tisa mchana kwa saa za Afrika Mashariki...
1 Reactions
15 Replies
882 Views
Ngoja tuzungumze kitu. Kwanini mtani umeshindwa kumuiga Bingwa wa mara zote wa Ligi Kuu linapokuja suala la "Players recruitment"?. Haiwezekani kilaa dirisha la usajili wewe unaacha kundi la...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Hatimaye ni miezi kadhaa sasa imepita tangu tuambiwe Manzoki kapanda ndege kutoka China kwa ajili ya kuja kusinya pale Simba. Ajabu Manzoki hafiki tu, sijawahi kufika China nisiwe mwongo sijui...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna kijiubaridi kinanijia. Jumamosi kuna dabi ya jiji la Manchester, halafu Jumapili kuna dabi ya London. Sina uhakika sana ila niamini mimi, dabi ya jumapili itakuwa gumzo kuliko ya jumamosi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nianze kwa mfano huu ninapoishi kuna mti wa mwembe watoto hawakauki kwenye huu mti wakitungua maembe, siku moja nikamuuliza mtoto mmoja kwanini mnapenda sana maembe ya huu mti. Jibu lake Baba...
5 Reactions
9 Replies
966 Views
Ligi yetu imekuwa sana, inavutia wachezaji wakubwa wa kimatifa kuja kucheza hapa. Wachezaji hawa wanaokuja kwetu wanategewa sana sio TU na club zilizowanunua bali hata na timu zao za mataifa...
2 Reactions
11 Replies
568 Views
Back
Top Bottom