KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA.
Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko! Kipindi manzoki yupo Vipers FC ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila...
Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022.
Akizungumza baada ya pambano hilo...
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia ya makosa sita ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono dhidi ya wasichana wanne.
Mahakama ilishindwa kufikia uamuzi juu ya...
Al Ittihad na Al Hilal wameripotiwa kuwa tayari kutoa Euro 350 milioni kwa Messi ili kumnasa kuondoka PSG. Kwa mujibu wa MARCA, klabu zinajipanga kumnasa Messi baada ya Al-Nassr kumsajili mpinzani...
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.
Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya...
Binafsi nilikuwa na bet kwa kuweka kumbukumbu kwenye daftari. Yaani nilikuwa na ukurasa wa Hela niliyobetia na ukurasa wa Hela niliyokula. Baada ya miezi kadhaa nikapata nimempa Mhindi Tshs...
Rais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu...
Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani wamechukua uamuzi huo kutokana na kutokubaliwa kupata ndege ya kuwatoa moja kwa moja Morocco hadi Algeria...
Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua...
Mchezaji wa newcastle united ya uingereza, raia wa Brazil amekutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa chakari yeye na mrembo aliyeonekana ni kama bidhaa
Ikumbukwe vilabu vikubwa kama...
Karim Mandonga, mchezaji wa masumbwi aliyejizolea umaarufu mwaka wa 2022,huku akizidi kujipatia mashabiki kupitia tambo zake, yaani namna anavyojiamini na kutoa maneno ya vitisho kama hujawahi...
Klabu ya Simba leo imekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya timu dhaifu ya Al Dhafra katika mchezo wa kirafiki uliomalizika jioni ya Leo.
Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo...
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na...
Wakuu huyu kipenzi chetu cha watanzania anatuburudisha vzr sana kwa aina ya kipee sana [emoji38]. Ni bondia anaependwa vzr sana na anafatiliwa hadi na vingozi wa kiserekali hasa waziri mkuu wetu...
Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua...
Ulishawahi kusikia bahati ya mtende au ngekewa? Au mtu baada ya kuharibu anapewa second chance! Ndio kilichowakuta Denmark mwaka 1992 katika michuano ya Mataifa ya Ulaya.
Michuano ya Uefa Euro...
Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa.
Matches zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.