Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari Wana jukwaa. Nitaandika kwa KIFUPI Mno. NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu za kutafuta chakula ya akili... (habari, makala na upembuzi wa hapa na pale) nimekutana na hii article ya Gab Marcoti... Interesting Read. Pele. Four letters, two...
1 Reactions
4 Replies
481 Views
WAZEE WA SAMBA BALL, ni miaka 20 iliyopita tokea Brazil itwae Kombe la Dunia kwenye ardhi ya Japan na Korea ikiwa na nyota pendwa Ronaldo de Lima, Rivaldo, Cafu, Zee la mashuti Roberto Carlos...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
We Shall Never See the likes of You Again........ RIP Angalia Tricks ambazo watu tofauti wanafanya sasa Kipindi Kile alifanya....
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za mda huu wapendwa Manyumbu wa man United napenda kuwwambia Kuwa kocha mlienae mmepigwa waholanzi waga wajinga mno Watawajazia wachezaji uchafu wa kiholanzi VANGAL ALIWAJAZA. TEN HAG...
0 Reactions
12 Replies
840 Views
Umeipokea kauli hii ukiwa wapi ndugu Wana utopolo?
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa? Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49% Huyu jamaa ukitaka kujua ni tapeli mwangalie timu ikianza kushinda mechi...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa. Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili...
4 Reactions
9 Replies
986 Views
Habari za muda buu wana michezo, Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua...
5 Reactions
84 Replies
5K Views
Ndio nachelea kusema Simba wamebaki kucheza na Propaganda zisizo na tija. Simba wamebaki kujaza watu kwenye mitandao ya kijamii na kuwatumia wanaojiita wachambuzi kwa ajili ya Very Cheap...
16 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndio ni Azik K kati ya mafundi wanaoimbwa sana nchini mwetu kutokana uchezaji wake na kubwa zaidi aina yake ya upigaji wa Faulo. Idadi ya makipa walioteswa na Aziz K ni wengi kwa kifupi kuna...
5 Reactions
8 Replies
831 Views
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea...
10 Reactions
102 Replies
9K Views
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine. 🔹 Robertinho...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari..... Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Huyu demu nimepata kushudia video zake fulani akiwa kwenye timu ya costa de sol. Angekuwa mwanaume Yanga wangelipata mchezaji mzuri saana, ila kwasababu ni demu basi Yanga Princess wamepata...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mpira una wadau wengi wa aina tofautitofauti wenye umri, jinsia, uchumi, kada za siasa, utumishi na hadhi mbalimbali. Kwenye upira wamo hata marais wa nchi. Unapokuwa kiongozi wa timu ya mpira...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Back
Top Bottom