Ni lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki? It's like hajawahi kutokea mchezaji wa aina yake. Basi kamilisheni usajili wake ili tupumzike na story zake.
Mwaka mzima...
Kiburi cha Zidane kimemtokea puani
Rais wa ufaransa Emmanuel Macron kuelekea mechi ya fainali ya kombe la Dunia kule bara la asia kati ya ARGENTINA na Ufaransa alitoa ndege kwa watu maarufu...
Miongoni mwa mashaur mepesi yaliyopelekwa TFF ni hili swala uvunjaj mkataba wa feisal salum, watu wengi wanachanganya kati ya breach of contract na termination of contract, breach of contract ni...
Huyu jamaa hatari leo kwenye nusu fainali za Kombe la Mapinduzi amefunga goli nne za akili kubwa sana na kufanya jumla ya magoli aliyofunga kuwa tano.
Singida Big Stars hapa mmelamba dume. Ngoja...
MICHEZO: Mchezaji Kevin Durant amefunga alama 17 alfajiri ya kuamkia leo Jumatatu Januari 9, 2023 na kuisaidia timu yake ya Brooklyn Nets kuibuka na ushindi wa alama 102-101 dhidi ya Miami Heat...
Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu...
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi...
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.
Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure...
Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida.
Ni kichekesho sana unaingia...
Bada ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji ya TFF kutegua kitendawili cha kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Feisal Salum, unaambiwa mashabiki mbalimbali wa Simba wamelaumu sana...
Maoni ya mdau kuhusu sakata la Feisal na Yanga SC.
YA MORRISON YALIVYOMPOFUSHA FEI TOTO
Kulikuwa kuna upuuzi wa aina mbili katika kesi ya Feisal; kuamini mawakili wa Morrison wangeshinda kesi ya...
Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa...
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa...
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano...
1. Cristiano Ronaldo
Alifanyiwa Operation ya moyo akiwa mtoto..., Ronaldo had a ‘racing heart’ while in his teens, even while asleep. His mother Dolores Aveiro told the Telegraph that it was...
Baada ya kutamatika kwa safari ya Simba SC kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2023 huko Zanzibar, viongozi wa Simba hawakutaka kulaza damu mara moja wakawasiliana na wakawa (agent) wa mchezaji...
Nawafahamu watu hawa. Ndiyo ambao walimwita Fei Toto na kumchimba mkwara. Wakaharibu zaidi wakati sisi tunaenda kuongea na mama yake amkanye mwanawe wao wakaona wamwite yeye.
===
Alichoandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.