Habari zenu wanasoka..
Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..
Binafsi sijapenda hii dhana...
Vipimo hivyo ambavyo wanapimwa viganja na mifupa (MRI) vimebaini wachezaji hao wamezidi umri unaotakiwa katika kikosi cha Chini ya Umri wa Miaka 17, na hivyo kuondolewa kikosini, wakianza harakati...
Wapo mitandaoni wanmwaga matusi tu, Ila mzee amegonga kwenye mshono.
Hawezi Kusema kuwa messi ni greatest mana yeye alishawaona Maradona na Cruyff, Na pia amefundisha wachezaji wengi sana ambao...
Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama...
Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie
Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi...
Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo...
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi...
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6...
Eti mitandao yote Leo imeandika kwa pamoja na maneno yale yale kuwa kocha mpya amevutiwa na uwezo wa Kibu na atambadilisha, huo ni uongo mtupu na ni mchongo tu wa kutaka mchezaji huyo ambaye ana...
Habari Wana JF
Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.
Binafsi kocha...
Akihojiwa na mtangazaji wa Azam TV baada ya kupoteza mechi dhidi ya Mlandege 0-1 amesema bado ana matumaini ya kushinda mechi 2 zilizobaki katika kundi lao C na kutinga hatua ya nusu fainali...
Habari za mda huu,
Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch
Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi...
Hii top ten yangu .
Wengine mnaweza weka yenu tupate ..ya wote .. ikiwezekana
1.Karim Mandonga
2.Mayele
3.Chama..
4.feitoto
5.Kiduku..
6.Mwakinyo
7.Phiri
8.Aziz Ki
9.Barbara Gonzalez
10. Juma...
Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana?
Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio...
Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki.
Kocha Mgunda pamoja na kukerwa...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point).
Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira...
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika.
Nilishangaa jana iliponunua Kocha mpya.
Kanoute, Mzamiru, na wengine wengi hao wote ni Average player's.
Viongozi kama hamna pesa za usajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.