Katika kesi hii ya Feisal nina maswali mengi sana ya kujiuliza?Mimi namtizama Fei Kama mchezaji kiongozi kwa wachezaji wengi wa kitanzania kwa Sasa.
Vijana wengi wadogo wanavutiwa na uwezo wake...
1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua
2. Kutofanya mazungumzo na club.
3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya...
Licha ya kuanzia benchi wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza, #ManUnited imeshinda 3-0 dhidi ya Charlton Athletic, wafungaji wakiwa ni Antony na Marcus Rashford (mawili) kwenye Uwanja wa Old...
Jana nimeshuhudia mchezo mzuri sana baina ya Azam na Singida lkn kubwa zaid ni pale kiungo asieimbwa sana Yussuf Kagoma akimfanya atakavyo kiungo wa kimataifa wa Ghana James Akaminko, Kagoma...
Mpira ni furaha na mpira ni ajira pia. Lakini mpira una sheria, kanuni na taratibu zake. Fei Toto kuiacha Yanga katikati ya mashindano ya African championship, ligi kuu, Azam cup na mapinduzi cup...
kiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni ujuha na ni upumbavu kukubali...
Bigger balls were brought in for top events to increase wind resistance and slow the game down because spectotors couldn't follow the fast-paced play.
Around 40million Chinese people play...
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....
Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka...
Wakuu chelsea ni chama langu ila kwa mwenenendo huu sijui kama nitafika, jana kanikata kila kitu kuanzia vibe hadi mtonyo nilimuamini sana nikamuwekea laki mbili duuh lakini kanibwaga.
Uchungu...
Taarifa za ndani kabisaa zinasema klabu ya Simba imesitisha mpango wa kuongeza wachezaji dilisha hili la usajili, Sababu zilizotolewa ni pamoja na kukosekana kwa wachezaji wazuri sokoni kipindi...
1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba...
Wakuu kwema?
Uongozi wa timu ya Simba S.C kupitia mtendaji mkuu ndugu Barbara ulisema utamchukulia hatua kali Dejan mzungu kwa kuvunja mkataba na klabu.
Imepita miezi mingi sasa tunaona kimya na...
"Baada ya kutafakari kwa kina, natangaza kustaafu mara moja soka la vilabu na soka la kimataifa.
Ninajisikia mwenye bahati sana kutimiza ndoto yangu ya kucheza mchezo ninaoupenda. Kwa kweli...
Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua, Alex Mgongolwa wakili maarufu nchini na mwanachama kindakindaki wa Yanga aliingia kwenye kikao cha kujadili suala la Feitoto wakati akijua kabisa kuwa kuna...
YANGA wakati wowote kutoka leo itamtambulisha mshambuliaji Kennedy Musonda akitokea Power Dynamos ya Zambia, lakini jeuri ya fedha ndefu ndiyo inamshusha Mzambia huyo huku kocha mmoja mkubwa...
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu...
Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.
Kama...
Ubaya Tff wametupa taarifa nusu nusu na sizani Kama Ni sawa.
Mbona CAF wao hutoa maamuzi yote hadharani
Kama wanasheria nguli tunategemea kuuona msingi wa maamuzi wa Tff ili tuchukue hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.