Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiungo huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 31 amechukua maamuzi hayo baada ya timu timu yake ya taifa kuishia Hatua ya Makundi katika Kombe la Dunia 2022. Hazard ameitumikia Ubelgiji kwa miaka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina uhakika kwamba Vijana wa ureno wapo moto sana, waachwe waendelee kupewa nafasi kwa hakika Ureno inaweza kufika hata fainali. Ronaldo akae bench, Fullstop, hana jipya dimbani Tatizo...
1 Reactions
4 Replies
706 Views
Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana. Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa ambao mnatazama mashindano ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Qatar kupitia Tbc1, kuna yule mtangazaji anaitwa Nazareth Utepe na Baraka mpenja wa Azam. Nani mwenye kutangaza vizuri pamoja...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu! Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa. Sina kipaji...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga, hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal, vijana wengi wameshabikia wazungu! Unadhani ni kwanini hali hii?
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni kama vile timu kubwa zinawekewa vipaumbele kwa kila namna zipate kufuzu hatua zinazofuata. Mechi ya Senegal dhidi ya Uingereza, kabla hata Uingereza kupata goli kulikuwa na tukio la wazi la...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
MOROCCO YAFANYA KWELI, YAINGIA ROBO FAINALI Timu hiyo ya #Afrika imefanya kweli baada ya kuiondoa mashindanoni Uhispania kwa njia ya mikwaju ya penati 3-0 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapenda Soka wote salaam, Hivi hawa TBC mnawaelewa ndugu zangu? Mbona ubora wa hii mechi wanayoonesha upo chini sana? Kama ubora wa picha upo hivi basi hadi Kombe la Dunia liishe tutakuwa na...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili. Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika...
1 Reactions
19 Replies
993 Views
Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo. Kevin ni zaidi ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza...
1 Reactions
5 Replies
931 Views
Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
19 Reactions
376 Replies
19K Views
Kufungwa siyo hoja, bali hoja ni kuwa sioni roho ya upambanaji tuliyoizoea! Sitashangaa kama watakuwa wamevuta kitu kidogo toka kwa uingereza!
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya Mganga wao Hatari wa Kienyeji kupelekewa Jezi zote hasa kabla ya kwenda nchini Tunisia Jezi pekee iliyokubalika kwa Dua, Mizimu, Kafara na Uchawi ni ya Rangi Nyeusi yenye Saini za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia...
11 Reactions
175 Replies
14K Views
Patashika ya kugombea alama tatu muhimu kwenye mchuano wa Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo 03/12/ 2022 ambapo wenyeji Wagosi wa Kaya Coastal Union[emoji191] wanawakabili...
15 Reactions
224 Replies
14K Views
Ni kitambo kidogo sijamskia mwamba wa umalila,jambo ambalo si kawaida ikapita mechi tatu asitangaze,huyu bwana atakuwa wapi?[emoji848]
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom