Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu. Ili tukimbizane na mbio za...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri. Kuna watu wanasema Phiri siyo stricker kama Mayele, bali ni kiungo mshambuliaji. Kwahiyo goli zake nyingi anafunga...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wahenga walisema mtoto halali na hela ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana muwakishi mwingine kutoka Afrika kutolewa kwenye michuano ya World Cup huku Morocco likiwa tumaini pekee lilibaki kwa...
5 Reactions
10 Replies
920 Views
Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao. Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza...
0 Reactions
13 Replies
764 Views
Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka...
3 Reactions
221 Replies
14K Views
Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mpira unakosewa heshima sana siku hizi, hii aibu kwa nchi yetu haiwezi kuvumilika tena, mamlaka zinapaswa kutoa onyo zaidi ya hili la kumfungia mtu mechi 3. Kwanini wasimtumie hata Babra kwenda...
10 Reactions
69 Replies
4K Views
Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean aitwae Saalah ni mdogo wa damu kabisa wa tajiri wa Yanga SC Gharib mwenye GSM yake halafu na dogo Saalah ni mwana Yanga SC lia lia kama ilivyo kwa kaka yake...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Nafikiri hakuna timu yoyote inayoweza kupaki basi dk 90 zote mbele ya yanga na ikahimili mashambulizi ya yanga kwa muda wote zaidi ya Tanzania prisons, Leo wamepaki basi lao na almanusura waokote...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Baadhi ya mashabiki wa Afrika tulikuwa na matumaini na Ghana kufika mbali lakini mambo hayakwenda kama yalivyotarajiwa. Binafsi, naona sababu ya Ghana kutolewa mapema ni Kocha wao kushindwa...
4 Reactions
5 Replies
535 Views
Mara paaaap tunaambiwa Yanga Wana michezo 40 bila kufungwa kwenye michezo ya ndani. Tumegeuziwa kibao Tena tunaambiwa ni kwa NBC premier league wakati huko nyuma walijumuisha ASFC Bahati kwao...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Sioni dalili zozote kama game ya France vs Poland itaonyeshwa mubashara Ninachoona ni shughuli za harusi tu
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mmezaliwa Mkapa Akiwa Rais , kipindi Lowassa mwaka 1995 anakataliwa na Mwalimu, Kipindi serikali inauza nyumba Kwa bei ya kutupwa, Kipindi cha Coin ya Shilling Mia kwakweli Uzi huu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mtangazi mmoja wa mechi ya leo kati ya Argentina na Australia, anaonekana kuwa ni shabiki wa Messi na Argentina kwa jumla. Muda mwingi anatumia kumsifia Messi hasa katika kipindi cha kwanza. Kweli...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Napenda kuuliza ili nifahamu. Wale wachezaji wa Coastal Union waliomfanyia fujo mwamuzi katika mechi yao dhidi ya Azam, je, wameishaadhibiwa? Kama ndio, ni adhabu ipi? Kuna baadhi ya wachezaji wa...
1 Reactions
9 Replies
698 Views
K. Bazil aliwahi kuimba wimbo wa riziki, nadhani alimlenga Mbwana Samatta na yule Majaliwa wa Precission Air Bukoba. Hawa watu wamepata sifa na utukufu wa bure. Samatta hajui mpira, kiwango chake...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom