Salaam watu wa soka,
Za masiku?
Naendelea kuwapatia taarifa muhimu kuhusu timu yetu ya Singida Big Stars na leo taarifa kubwa ni kuhusu uamuzi wa TFF kutufutia adhabu ya kutosajili dirisha dogo...
Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza.
Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa...
Na kilichoniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba yaani mlimchagua Mchezaji ambaye mnajua hana Nafasi Kikosini na ambaye mnamuacha Dirisha hili Dogo lijalo ili mumvalishe hili Bomu hata kama atapewa...
👆
Rais wa FIFA, INFATINO👇
Maachallah, hakika Qatar imeuheshimisha Uisilamu,
Pindi itakapofika nusra ya Allah na ushindi, utawaona watu wakiingia katika dini ya Allah makundi kwa makundi, basi...
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim...
Habari za mida hii wadau wote wa Jamii Forum hasa wapenda Mpira kama mimi.
Katika pita pita zangu nimekutana na App safi kabisa inarusha mechi zote za Kombe la Dunia pia na Mechi za Bongo...
Wakuu kwema?
Mimi ni mmoja wa Watanzania ninao penda mchezo wa mpira wa miguu tangu nikiwa na umri mdogo hadi sasa.
Leo ninatoa maoni yangu juu ya maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu hapa...
Kama akili tu za kuliendeleza kimaendeleo bara letu la Afrika kwa utajiri wa rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu tumeshindwa je, huku katika soka (mpira wa miguu) na hasa katika michuano ya...
Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi...
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa...
Aiseee hili litakua ni ajabu la Tisa la Dunia.
Wairan washangilia timu Yao kufungwa na Marekani kwenye michuano ya kombe la Dunia, wengine waonyesha bendera ya Marekani na kuimba "Marekani, tuko...
Mashindano Ya kombe la Dunia Yakiwa Yanaendea Kuna Baadhi Ya matukio na Rekodi kadhaa ziliwekwa na Timu na wachezaji Binafsi.Hizi ni Baadhi Ya Rekodi katika mashindano.
[emoji429]Qatar imekuwa...
Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa...
Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa Wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye Kombe la Dunia.
Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala...
Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana
Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia
Hawa jamaa japo walikuwa...
Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022.
Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya...
Wadau soon tu Kombe la Dunia linaenda kuanza,, je Nani atachukua? Kuna Wadau wanasema mshindi wa michuano ya EURO huwa wanafanyaga vizuri!! Well inawezekana, Euro ya mwaka juziii ule ufaransa...
Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!
Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa...
Nyie wana msimbazi sijui mnamwelewa huyu mzee? Maana amekuwa akitahadharisha hilo karibu mwezi sasa, lakini anashangaa baadhi yenu mmekuwa mkimwandama mitandaoni!
Nilichoona
Msiitazame sana Yanga...
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.