Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano. Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naona bado kuna utata kuhusu like goli la Bruno Fernandes baada ya kutupia cross iliyoenda moja kwa moja hadi kambani. Ronaldo Reaction yake anadai ameuparaza ule mpira kwa kichwa, vipi wewe maoni...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Tukikuita Mnafiki na Mtangazaji mwenye Chuki na Simba SC na uko very Unprofessional huwa utadhani tunakosea au Kukukosea. Nina uhakika na ninavyokujua kama Yanga SC yako Juzi ingeifunga Ihefu FC...
2 Reactions
3 Replies
556 Views
Na Siku zote raha ya Tundu lililowazi ni kila mara tu kutupwe Mchele wa Mbarali ili Ndege wazuri wa Gerezani Mbeya waingie Kuula au Korosho za Namungo Lindi ziweze kupenyezwa humo ili ziive vizuri.
4 Reactions
10 Replies
893 Views
Kampuni ya Silent Ocean imeipa Ahadi ya Tsh Milioni 20 kama itashinda na Tsh Milioni 10 kama Timu ya Prisons FC itatoka Sare dhidi ya Yanga SC Jumapili ya tarehe 4 December, 2022. Nakumbuka...
3 Reactions
10 Replies
867 Views
Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana. Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee. Hizi dakika 5 zimeongezwa...
1 Reactions
10 Replies
781 Views
Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifatilia michuano hii mikubwa Duniani kwa lugha yetu ya Kiswahili. Mimi shabiki wako kindakindaki sijakusikia kabisa ukiunguruma sauti ya radi, mwamba wa rumalila kutangaza mpira huu...
4 Reactions
69 Replies
4K Views
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari zilizopo chini chini kuna mkono unaotembezwa FIFA mapema ili kombe la dunia kupelekwa Saudia na kwa dau nono kabisa. Ukisikia mpira pesa ndio huu sasa
0 Reactions
9 Replies
921 Views
Maswali ya kujiuliza -Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar? -Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii sio habari mpya kabisa. Ni jambo linalofahamika. Ila tu kwa siku ya jana imetokea utapeli. Mtoa rushwa kalizwa. Wakati mwingine Uto mkiona hali kama ya jana, kwenye dakika ya 80 kamateni mpira...
5 Reactions
8 Replies
819 Views
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi. Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
CHADEMA mmekuwa mnajiweka mbali sana na michezo na sidhani hapo Ufipa St mna sera ya michezo. Karibuni hapa Lumumba mjifunze michezo ni siasa. Hadi mwisho USA 1 IRAN 0, Biden akatoa salam kwa...
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran. Nlifuatilia kwenye vyombo vya...
2 Reactions
14 Replies
840 Views
Kwa Mashabiki wenu Oya Oya (Akili Kupotea) hapa najua Watawaungeni mkono ila kwa Sisi Wanamichezo wa kweli tunajua kuwa mmeumia mno na Kubikiriwa na Walima Mpunga huko Mbarali Mkoani Mbeya jana...
2 Reactions
10 Replies
646 Views
Back
Top Bottom