Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuchezwa leo Novemba 27, 2022 ambapo wenyeji Polisi Tanzania wanakiwasha dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC kunako Dimba la D'eL Ushirika Moshi...
Kocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi.
Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa...
Kule ulaya kuna kitu kinaitwa reserve teams.
Mfano Real Madrid wanatimu inaitwa Real Madrid Castilla
,timu aliyochezea winger wa Brazil Vinicius Tobias ambaye jana amekiwasha kwelikweli.alicheza...
Wigan Athletic wamemteua beki wa zamani wa Ivory Caost, Arsenal na Manchester City, Kolo Toure kuwa meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41...
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda...
Mechi ya tatu mfululizo dogo anakiwasha kisawasawa, kuanzia Tunisia, kule Mwanza na leo uwanja wa taifa. Wachambuzi wa bongo Lomalisa anawavua nguo!
Ushauri katika uchambuzi wenu lazima muwe...
Hbr za mchna
Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia
Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia...
Ni Mwaka 1982, siku ya tatu iliwakutanisha Algeria na West German ambao walijua wanakwenda kutimiza wajibu.
"We will Dedicate our Seventh Goal to our wives and the eighth to our dogs."
Game...
Siku zote Watanzania tukishaona tumefikia steji fulani basi hutaki kukubali ukweli, hata leo JF app imeridhika.
Tuje kwenye app ya Simba, mara ya kwanza kuzinduliwa hii app niliona itakuja kuwa...
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.
Tayari...
Uwezo wa huyu kocha wetu ni mdogo sana. Amepitia njia nyepesi sana kufika makundi cafcl.
Hajashinda mechi yoyote miongoni mwa mechi ngumu msimu huu. Anzia mechi ya KMC, Yanga, Azam na hii ya...
Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo...
Anashusha hadhi ya Ligi hiyo , Haiwezekani , anafunga magoli kirahisi namna ile , Bila shaka mabeki Wanamuogopa .
Aondolewe ili kulinda hadhi ya Ligi ya NBC , Maana katika hali ya kawaida...
Kukosekana kwa wachezaji fulani kwenye Kombe la Dunia kunachangia kutukosesha vionjo tulivyovitarajia. Kwa mfano kokosekana kwa mchezaji bora wa Dunia kwa sasa Benzema (mtaalam wa kutupia)...
Prof Nabi amenishangaza sana leo.
Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC...
Habari za muda huu wana jf,
Naomba kuelekezwa jinsi mshindi anapatikana katika kombe la dunia kuanzia hatua ya makundi, 16 bora, robo fainali, nusu fainali hadi fainali
Jibu lako litanielimisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.