Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye...
33 Reactions
71 Replies
5K Views
✅ 1-0 v Simba ✅ 1-0 v Ihefu ✅ 2-1 v Dodoma Jiji ✅ 4-3 v Mtibwa Sugar ✅ 1-0 v Ruvu Shooting ✅ 1-0 v Namungo ✅ 3-2 v Coastal Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi...
3 Reactions
16 Replies
910 Views
HAYA NDO MAJINA YA KIKOSI CHOTE CHA BRAZIL GOALKEEPERS Alisson (Roma), Cassio (Corinthians), Ederson (Manchester City) DEFENDERS Dani Alves (PSG), Fagner (Corinthians), Filipe Luis (Athletico...
15 Reactions
231 Replies
35K Views
Wakuu leo tumeshuhudia Yanga akitandaza soka lake akiwa imara, pale kati Fei, Bangala na Aucho. Ama hakika Yanga hii kwa ligi ya ndani imeshindikana, mengi yatasemwa ila ukweli utabaki palepal...
6 Reactions
8 Replies
734 Views
Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard. Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mosi, 2022 mara baada ya kukamilisha...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote. Ni kwamba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Magoli ya kiungo mshambuliaji Abdelhamid Sabiri anayeichezea Sampdoria ya Italia na Zakaria Aboukhlal wa Toulouse ya Italia yameipa ushindi #Morocco na kuweka matumaini ya kufuzu Hatua ya Mtoano...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nasser Al-Khelafi amesema kuwa vyombo vya habari haitendi haki kwa jinsi vinavyotoa taarifa hasi kuhusu Qatar ambao ni wenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2022. Qatar imekosolewa na vyombo vya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Tuisila Kisinda anapewa pasi na Fiston Mayele hatua chache toka katikati ya uwanja kuelekea lango la Mbeya City. Anakokota mpira kuelekea pembeni huku kila Mtu akiamini lengo lake ni kupiga krosi...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama watafikishiwa ujumbe kwa njia yeyote basi itakuwa kheri kwetu Nashangaa benchi la ufundi kwa kipindi kirefu sasa wameshindwa kulisimamia hili Ni ukweli usiopingika wachezaji wetu Jesus...
1 Reactions
2 Replies
442 Views
Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita...
2 Reactions
6 Replies
646 Views
Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama M bet kukaa kifuani pekee wanalipa bil 26 kwa miaka 5, wastani wa bil 5 kila mwaka, Mo anatoa billion ngapi kila mwaka kulipia matangazo yake yaliyojaa kwenye jezi ya simba. Je, billion 20...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama mwana Simba lialia niseme ukweli Yanga inaumiza hisia zetu sana. Tumekuwa ni wa kusubiri Yanga ifungwe lakini wapi! Sisi tunadondosha alama Yanga inabeba zote. Tumekuwa watu wa kutafuta...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Hakika Yanga timu ya wananchi hawakupendezwa na droo waliyopata Simba dhidi ya Mbeya City mgongea msumari akiwa Tariq Seif pale uwanja wa Sokoine. Baada ya gemu ile viongozi na wachezaji wa Yanga...
4 Reactions
9 Replies
799 Views
Timu isiyokuwa na academy ya kufundisha soka vijana uhai wake uko mashakani. Yanga punguza gharama za usajili nje na ndani ya nchi kwa kulea vijana wenye vipaji vya soka. Kusajili mchezaji kwa...
4 Reactions
13 Replies
994 Views
Timothy Weah ni mtoto wa Rais wa Liberia, George Weah ambapo jana aliweza kuipatia goli moja kabla ya Wales kuja kuzawazisha kwa mkwaju wa penat iliyopigwa na Gareth Bale. George weah imesemekana...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Klabu hiyo imesema iko tayari kumsaini nyota huyo kwa mkataba wa miaka 3 ukiwa na thamani ya Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka. Aidha AL Nassr kutoka Mashariki ya Kati imesema haina tatizo endapo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Matokeo ya Yanga ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 inafikisha mechi 49 bila kupoteza mchezo wowote kwenye ligi pia inazidi kujiimarisha kukaa kileleni, ikifikisha pointi 32, katika mechi 12...
4 Reactions
5 Replies
619 Views
Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom