Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sisi ni 'finalist' wa kombe la Dunia 2022 Qatar. Kuna watu wanatuchukulia poa, lakini tutawashangaza hawataamini.
3 Reactions
22 Replies
975 Views
Toka Kombe la Dunia lianze, upande wa DStv Swahili huyu kijana amenikosha sana, haboi kusikilizwa. Hapigi kelele ila anatoa 'fact', usimuliaji wa mpira unatiririka. Leo Qatar tunampiga kibonde...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikalini, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini Yanga ya GSM inatisha sasa hivi. Kuwa 'unbeaten' mara 49...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8...
17 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeanza kuvutiwa na kucheza betting naombeni muongozo?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic. Alionekana akilia akiwa kwenye...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu? Mlikuwa mnasema Juma Mgunda...
12 Reactions
42 Replies
3K Views
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Inanipa shida kauli ya msemaji wa simba, aliposema ligi yetu ni dhaifu. Pia zinanipa shida Tff na bodies ya ligi wenye mamlaka na ligi yetu. Ligi haiwezi kuwa dhaifu kama muandaaji na msimamizi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Style ya uanzishaji mashambulizi na magoli wanayompiga Serbia kama Yanga inavyowatesa wapinzani.
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi. Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi...
19 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii tabia ni ya kipekee kabisa, heshima ni kitu cha bure. Mpira ulivyoisha tu, wakakusanya taka zilizopo maeneo walipo wao, zote, na kuzitupa kwenye mifuko ya rambo na kutupa mahali pa taka na...
28 Reactions
70 Replies
5K Views
Apewe Baharesa!🤣🤣🤣🤣 "Timu ya Simba kama Mo Dewji ameshindwa ampe Bakhresa, Simba ni kubwa kuliko Barbara, kama wameshindwa wampe timu Bakhresa.
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Sie watazamaji yetu macho, ngoja tuone kama kutakuwa na ukweli au sound kama ilivyo desturi yao.
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao. Imeisha hiyo.
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na...
2 Reactions
1 Replies
453 Views
Nataka kujua kama leo mtaonyesha mechi ya Brazil na Serbia itakayochezwa saa nne usiku. Maana hamna ratiba kamili mechi zipi mtaonyesha! Kwa sisi tusiyokuwa na DStv tulifarijika baada kuona...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom