Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Nina shauku sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu! Hii mechi kali na muhimu inaanza saa ngapi wadau?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika. Timu inayolalamika ni Yanga ila...
25 Reactions
57 Replies
3K Views
Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa taarifa zilizopo Ni Kwamba Simba akipoteza point 3 tu, au akidroo mechi 2 na kupoteza points 4, Basi rasmi atapewa mkono wa burihani. Kwa Sasa kiuhalisia Yanga anamuacha Simba point 5 ,hiyo...
2 Reactions
9 Replies
724 Views
Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza...
11 Reactions
80 Replies
7K Views
Simba ya sasa ni bora, na tuseme kuwa Yanga ikajipange. magoli kama yale ni kweli Manula anaugonjwa nayo, hata Morrison alimfunga sana Manula kwa mtindo ule, lakini haindoi uhalisia kuwa bado ni...
21 Reactions
86 Replies
5K Views
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga. Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa...
17 Reactions
69 Replies
4K Views
Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe. Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanasimba pamoja na kuipongeza timu Kwa ushindi mnono. Msisahau kumshauri mgunda kuhusu mpira halisi wa Simba. Miaka 3 nyuma Simba ilisifika Kwa pira Biriani pira udambwi udambwi. Pira pass Mia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Vyombo vya habari Iran vyenye mrengo wa serikali imesingizia timu yao kushindwa ni mambo ya kisaikolojia iliyopandikizwa dhidi ya wachezaji wao. Kwa iyo Iran ilikuwa inacheza dhidi ya Uingereza...
2 Reactions
7 Replies
873 Views
Watu hawataamini kuhusu uwezo wa Mgunda kuifundisha Simba. Simba haiwezi kufundishwa na mgunda na Matola bhana. Ushindi mfululizo wa Mgunda tuliokuwa tunauona ulitokana na saikolojia ya wachezaji...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Nimeiangalia Simba toka Kocha Mgunda anakabidhiwa timu msimu huu nikagundua kuwa ni muhamasishaji mzuri ila sio kocha mzuri. Tuwe wakweli, Simba inabebwa sana na uwezo binafsi wa wachezaji watatu...
15 Reactions
67 Replies
4K Views
Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Hili la ajira Kombe la Dunia hapa Qatar, litufikirishe sana kama nchi. [emoji419]Tumejiridhisha pasi na shaka, Afrika Mashariki imetumika sana kama raslimali watu hapa Qatar hasa kwenye maeneo ya...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Vyombo vya habari vimetumika kumchafua kwa kuyapa uzito mambo hasi, lakini aliongea mengi ya msingi na ukweli. Miongoni mwa mambo hayo ni: ~ Glazer hawajali timu. ~ Tangu Fergurson aondoke...
1 Reactions
2 Replies
941 Views
Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom