Inadaiwa kuwa wamiliki hao wanaweza kuiuza klabu hiyo kwa Pauni Bilioni 5 hadi 9 (Tsh. Trilioni 14 hadi 25).
Tayari kampuni kadhaa zimeshateuliwa kufuatilia mchakato huo na kutathimini hali ya...
[emoji599] Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu.
Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu...
George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita.
Picha lilianza mechi ya kwanza ya ligi shidi ya Simba, wewe ukajificha kwa makusudi eti hautakuwepo kwa...
Heshima kwenu wakuu.
Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya...
Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa...
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi...
Mwaka huu ni mwaka wa Yanga nyumbani na kimataifa! kitu kimoja kinachonikera sana ni ile tabiatimu ya wapenzi wa yanga kutaka kocha afanye watakavyo.
Kocha Nabi aliisha jifunza kupoteza mechi na...
Kama wewe ni mshabiki wa ARSENAL kama mimi karibu Coco Beach tule muhogo kwa bili yangu!
Ukitaka na mishikaki utalipa mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
FT: Arsenal 3 - 1 Totenham
1. Aisee wale ni:
Left backs sio back left
Right back sio back right.
Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal?
2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi.
Man up
Wakuu habari zenu.
Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini?
Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu...
Nikiwa na wao hujua GENTAMYCINE ni mwenzao (mwana Yanga SC) na bahati nzuri hawajui kuwa ndiyo mimi, hivyo huweza kupata mipango yao mingi ya siri na miovu dhidi ya Simba SC.
Taarifa niliyoipata...
Kusema ukweli utangazaji wa mpira Kombe la Dunia kupitia DStv lugha ya Kiswahili hauvutii.
Hao watangazaji ni kama siyo wataalam kwa hiyo kazi, maneno mengi, stori nyingi zisizoendana na matukio...
Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita.
Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
hii wizara ndiyo baba wa wa kuleta furaha kitaifa. Kwa mtaji huu wa furaha ili utunufaishe lazima TFF na Chama cha riadha viwekewe malengo na hayo malengo yafuatiliwe. nashangaa sana sijaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.