Ni wachezaji wa ndani kabisa, ila wanajua sana soka, wanacheza namba mbalimbali.
Wako wengi ila jicho langu limewaona wafuatao, na nina imani kwa mtu mwenye jicho la mpira basi hatasita...
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani?
Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu...
Wakati Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yakiwa karibu kabisa kuanza, kupitia video fupi Mhariri wa uchambuzi kutoka shirika la habari la BBC Ros Atkin ameiongelea miaka ya tuhuma za rushwa ndani...
Kuna ule usemi maarufu ya kwamba "Ukitaka kazi ya jeshi basi lazima ugangamale".
Hivyo kwa mchezaji yeyote wa timu ndogo anapopambana na kuonesha makali ili afanikiwe kuwashawishi timu kubwa...
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia...
Wakuu anayefahamu ni 'application' gani naweza kuangalia michezo yote za Kombe la Dunia anijuze. Nilitaka kupakua Azam shida na yenyewe unalipia, nataka 'application' ambayo haulipii...
MECCO SPORTS CLUB MBEYA 1989. Uwanja wa Taifa Dar vs SSC : Matokeo SSC 1 - 1 MECCO.
Kuanzia Kulia kwenda kushoto.
Saidi Maeda (Team Manager), Saidi Jobe (Kocha Msaidizi), Gabriel Mwitika (Mlinzi...
Nawaangalia Senegal, hii mechi wangecheza kiume wangeshinda, lakini wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile ari ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria.
Mpira magoli, haina haja ya kupaka...
Wawakilishi hao wa Afrika wamepoteza kwa magoli 2-0 katika mchezo wa Kundi A kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022.
Licha ya kuonesha ushindani mzuri kwa muda mrefu, #Senegal waliruhusu magoli...
Muda wa kawaida wa mchezo umetajwa katika sheria za FIFA kuwa ni dakika 90. Sheria No.7 Kati ya sheria 17 za soka imeelezea vema Muda wa mchezo.
Kanuni zinazotumika kwenye mashindano ya Kombe la...
Ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia nchini Qatar baadhi ya wachezaji wataikosa michezo ya fainali hyo kutokana na sababu mbali mbali wengine kwa kupata...
Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B.
Hii imepelekea mitaa na...
Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia.
Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo...
Mashindano ya Kombe la dunia yameanza rasmi nchini Qatar.
tutashuhudia, umahiri wa hali ya juu jinsi ya kusakata kandanda, tutashuhudia akili, maarifa na bidii ya timu na wachezaji mmoja mmoja...
Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa.
Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati...
Natumaini wana bodi nao huwa wanatazama hizi mechi hasa za Nbc Premier League. Najua na wao wanaona kama tuonavyo sisi, wanapata muda wa kutafakari, kuchambua kati ya pumba na mchele.
Basi tuombe...
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake.
Hao kwenye picha ni mashabiki...
Ilani ya CCM inaagiza watanzania popote walipo wapate mawasiliano ya ndani na nje ya nchi kwa gharama nafuu kwa kadri inavyowezekana
TBC wanawaletea mubashara fainali za FIFA World Cup
Ikumbukwe...
Hawa Qatar sijui wamepataje hii nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa kama haya. Timu yao ya Taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk. ya 30 washapigwa mbili bila.
Nadhani hawa...
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita.
Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.