Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo? Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali...
0 Reactions
7 Replies
475 Views
Yaani ni Moto. Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa. Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango.. Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000. Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu...
16 Reactions
143 Replies
14K Views
Mbio za ubingwa wa ligi ya Tanzania kwa sasa unakwenda kimahesabu zaidi kwa wanaouelewa mpira wa kitanzania. Ni mapema sana kumtaja atayebeba ndoo kwa sasa lakini kimahesabu na kiufundi Vijana wa...
2 Reactions
1 Replies
828 Views
RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Position No. Player Club Age Caps GK 1 Alisson Liverpool (ENG) 30 56 GK 23 Ederson Manchester City (ENG) 29 18 GK 12 Weverton Palmeiras (BRA) 34 11 DEF 4 Marquinhos PSG (FRA) 28 70 DEF...
5 Reactions
17 Replies
908 Views
Hawa jamaa wa umbumbuni leo wameifunga ruvu shooting goli 4 sasa tunajiuliza wao wametoa bahasha ya shingapi maana wakishinda wengine wanasema ni bahasha lakini wakishinda wao ni ushindi halali...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu wa Simba mtaacha lini kumjadili Chama? Au ndio tumaini pekee lililobaki huko kwenu? Ubora wake unafahamika. Sasa mnajadili nini? Naona mnakazana sana kuanzisha threads za kumsifia. Hadi kero...
2 Reactions
18 Replies
634 Views
◉ 1982 Rummenigge ◉ 1986 Platini ◉ 1990 Van Basten ◉ 1994 Baggio ◉ 1998 Ronaldo ◉ 2002 Owen ◉ 2006 Ronaldinho ◉ 2010 Messi ◉ 2014 Cristiano ◉ 2018 Cristiano ◉ 2022 Benzema [emoji777] [emoji3578]...
1 Reactions
1 Replies
323 Views
Wasenegal wanakera sana kitendo cha sadio mane kupata jeraha imekua kama wachezaji wote wamepata majeraha hii inaonesha ni jinsi gani Waafrica hatujiamini na hutanaimani na vitu tulivyonavyo...
2 Reactions
8 Replies
853 Views
Kila nikiandika nafuta.. Kila nikiandika nafuta.. Kila nikiandika nafuta.. Hili nimeshindwa kulifuta.. Eeeh Mwenyezi Mungu muumba mbingu na aridhi, binadamu na mimea (ikiwemo mizizi kama mihogo)...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Rene Huguita. Alipata kuishi katika sayari tuliomo. Anatoka katika nchi ya Colombia. Mpira kwake ilikuwa ni furaha vituko na vihoja. Mara nyingi alitoka golini kwake kwenda mbele kuongeza...
1 Reactions
4 Replies
661 Views
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu...
7 Reactions
98 Replies
5K Views
Nauliza, ni kisimbuzi gani cha ndani ambacho kitarusha kombe la Dunia la mwaka huu? Miaka ya nyuma tulikuwa tunaona shamrashamra za matangazo kwenye visimbuzi vya ndani mfano Startimes kwamba...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki...
9 Reactions
8 Replies
804 Views
Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani. Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Kesho katika Mechi ya Simba dhidi ya Ruvu ataonekana mwamba Clotius Chota Chama (Triple C) ambaye hajaonekana uwanjani si kwa sababu ya majeraha au kiwango kushuka, ila ni kwa sababu hakusalimia...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeona mahali kwamba eti nyota wa zamani wa Yanga, Azam, Simba, Ndanda, Mbeya City na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Khalfani Ngassa, juzi alizuiwa kuingia uwanjani kushuhudia...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom