Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mhamasishaji Gadiola Mnene atupiwe virago fasta au apelekwe Simba C kabla mambo hayajaharibika. Timu inacheza ki- Ihefu Ihefuna bado anaachwa tu.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mpaka sasa hivi Yanga shida yake ni beki wa kati na siyo kiungo mkabaji. Bangala anatosha kucheza namba 6, walete beki wa kati asaidiane na Job, walete winga na mshambuliaji wa kati kumsaidia...
2 Reactions
1 Replies
467 Views
Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALI
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Binafsi nimeshangazwa sana na uongozi wa Klabu ya Simba SC kukurupuka kumkana Kocha wa Makipa, Muharami Said Mohamed kutokana na tuhuma za Kukutwa na madawa ya kulevya kwa kusema kwamba Klabu ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
FAHAMU HAYA VYEMA MKAJUA SIMBA IMEFANYA NINI AFRIKA HII. Mwaka 1977, Simba iliweka rekodi katika mechi za watani wa jadi kwa kuifunga Yanga mabao 6-0. Zaidi ya miaka 42 rekodi hiyo haijafikiwa. —...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Kama si Mbiringe bila shaka ni Patashika ya Ligi Kuu Tanzani Bara [emoji1241] kuendelea kupigwa leo Novemba 16, 2022. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kukiwasha na Wababe wa Kusini Namungo...
17 Reactions
338 Replies
16K Views
Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Singida tumeshawafunga kabla hata ya menchi. Hawa jamaa wana alama zetu 6 kila msimu. Kwahiyo wala hawatuumizi kichwa. Ni timu ya Mwigulu Nchemba ambaye ni mtu wetu, kwahiyo mechi rahisi hii...
0 Reactions
15 Replies
866 Views
Mayele alivyochukua maamuzi ya kubaki, nilimuona amefanya maamuzi mabaya sana tena sana. Katika watu ambao huwa hawana shukrani ni mashabiki wa Yanga, asubuhi unaweza kuwasaidia ikifika jioni...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida. Haiwezekani...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni shabiki wa Liverpool kindaki kindaki siyo masihara, Sababu iliyopelekea kuipenda hii ni; 1. Bwana mdogo Michael Owen, enzi hizo vile alivyo kasi na ufungaji wake na falsafa za pale...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania 16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar 19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars ✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi...
0 Reactions
5 Replies
851 Views
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana. Diarra alipangua penati ile nyepesi.
19 Reactions
95 Replies
7K Views
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP...
7 Reactions
68 Replies
3K Views
Wakuu Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo). Amedai kuwa Ten...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom