Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) inatarajiwa kufanya uchaguzi Novemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, nafasi zinazowaniwa ni Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Tendaji Kanda ya Pwani, ambazo...
Mwenye uelewa na channel za king'amuzi cha star times kinachohusika na kurusha mpira wa kombe la dunia nimesikia TBC one... Ila ni mechi 26 tu vip vip kuhus channel zingine
Mimi shabiki wa Yanga damu damu kabisa ila hii timu ya ruvu shooting ndo timu ambayo inanivutia zaidi na pendaga jinsi lilivyo jina lao tu naonaga limekaa kibingwa bingwa hivi tatizo uwezo tu ila...
Hivi wale waliosema yanga ikipata ushindi kule Tunisia waitwe mbwa wamerudi kwenye hali ya ubinadamu au bado?
Nawasilisha.
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Tunajua kuwa wewe Mo ni shabiki na mwanachama wa Simba SC, tunaamini kuna wakati unajitolea kwa hali na mali kuifanya Simba iwe bora sambamba na kuinua furaha yako na mashabiki wenzako.
Lakini...
Natamani kiongozi mmoja amshike bega mtoto pendwa mwana Kalala amwambie kuwa katika mechi hii inahitajika nafasi moja ili kulipata goli moja, natamani amwambie kuwa pindi azam tv na king’amuzi...
Klabu ya Yanga imerejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa pointi 23 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza...
Jamaa sio mjinga, kwanza ni msomi, pili michezo ya kimafia anaijua, tatu anazunguka na timu ili kuwa karibu nayo, nne, sio mpigaji, tano, injinia anapenda sana sifa, sita, anaonekana kabisa ana...
Nimezoea kuona makala ndefu za voice of voice less twitani na insta, lakini mpaka sasa sijaona andiko lolote hata like la pu..eto. kulikoni?
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Japo kila mmoja ana haki ya kushabikia timu yoyote aipendayo na ana haki ya kujivunia timu aipendayo ila ukweli lazima usemwe.
Simba ndio standard ya mpira wetu Tanzania.
Timu zingine zote...
Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9.
Haya ni mafanikio ya Yanga...
"Tangu aondoke Kocha wa Viungo wa zamani Simba tumekaa muda kidogo bila Kocha mpya wa Viungo, niwaambie wana Simba hii Wiki haiishii tutamleta Kocha mpya wa Viungo" Ahmed Ally
Tushukuru wawekezaji kwenye swala zima la mpira wa ligi yetu ya ndani hebu angalia hiki kiatu alichovaa PAPE NDAU no 25 mgongoni mchezaji wa simba ndicho kilicho tumika kwenye mechi ya Kariakoo...
[emoji1033] Aguero: Hat-trick 12 kwenye Premier League ndani ya miaka 10.
[emoji1200] Lewandowski: Hat-trick 14 kwenye Bundesliga ndani ya miaka 14.
[emoji1033] Messi: Hat-trick 36 kwenye La...
FULL TIME
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
80' Simba wanapambana lakini mambo yanakuwa magumu
78' Simba wapo nyuma kwa goli moja
60' Ngoma bado ngumu
Kipindi cha pili kimeanza
MAPUMZIKO...
Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.