Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti...
7 Reactions
9 Replies
779 Views
Na Godian Method Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nimeona mashabiki chawa wote wa Simba waliamua kufunguka dhidi ya uongozi wa timu yetu ambayo wanajifanya kutia pamba masikioni, tulianza kuwaambia viongozi since day walipoanza kufanya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa kweli kama alivyosema mwenzangu humu jf, Leo ndio ile cku ya kuvunja unbeaten record ya yanga, kwa kweli hata cjui kwann kagera sugar walimrudisha Mexime, timu inacheza weeee lkn haina mipango...
9 Reactions
10 Replies
990 Views
Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0...
1 Reactions
4 Replies
802 Views
Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada ya game na Singida nimetafakari mengi juu ya hawa ndugu zetu ambao karibu wiki nzima hii wamekua wakituzomea yanga kuwa safari yetu shirikisho inaenda kuisha leo. Ni lweli mpira una matokeo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni wivu tuu.. Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto? Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about...
16 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau wa soka mpo vyema Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana. Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia...
2 Reactions
11 Replies
984 Views
Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya...
3 Reactions
10 Replies
977 Views
Hawa marefa sijui wanapewa mafunzo wapi, Wanafanya ujinga wa wazi wazi Alafu bado wanaendelea kuaminiwa
0 Reactions
4 Replies
691 Views
Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Ifike wakat matokeo ya mpira yaheshimiwe bwana Mwishokambi juzi mmefungwa mbona hujasema Kama Azam wametembeza bahasha Lakn yanga ikishinda akili yako inawaza bahasha TU nyie ndio mnaoenda...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda...
23 Reactions
23 Replies
2K Views
FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC. 90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri...
11 Reactions
344 Replies
18K Views
Habari zenu wana JF, Samahani nilikua nauliza kuhusu uno premier tips na sportpesa vip betting tips wanauza mikeka vp inakuaga ya uhakika au ni matapeli maana hua wanasema ushindi ni 100%
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Kocha Seleman Matola anaondoka Simba kwa muda ili akasome. Matola amepata fursa ya kwenda kusoma kozi ya leseni A ya CAF, ataanza Novemba 21 ambapo atasoma kwa wiki mbili, kisha atarejea kikosini...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu. Na takwimu za Azizi Ki...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom