Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule...
Baada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo...
Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo:
Marumo Gallants 3-1 Al Ahli
Tripoli
CS Sfaxien 1-2 ASKO
St Eloi Lupopo...
Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4.
Matokeo yao...
Timu nzima kuanzia kwa mashabiki, viongozi na mpaka Sasa wameanza kuambikiza kwa wachezaji namna wanavyo cheza wanacheza soka ambalo halina utulivu na kuanza kugomea mechi.
Ukiongea na mashabiki...
Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko...
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki...
Hii ni summary ya ufanisi wa wachezaji wa Yanga katika mechi ya jana. Alana ni katika fractions za /10 . Ni mawazo huru ambayo yanaweza kupingwa na kukosolewa Kwani watazamaji hatufanani. Karibu...
Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi...
Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar...
Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa
Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten...
Salaam,
Mgunda hapewi mkataba, wala kocha mpya haletwi, na uongozi hausemi chochote. Tunajua kwamba Mgunda alikuja simba kwa dharura ya kusimamia timu kwenye mashindano ya kimataifa, hasa mechi...
Kila mdau wa clab cha Yanga anashangilia hatua kubwa club yao iliyofikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC.
Kuanzia Rais wa club anashangilia mpaka mla miogo wa Chanika...
Kufuatia matokeo ya kichapo kutoka kwa Yanga, Rais wa Club Aficain na Bodi ya Wakurugenzi wametangaza kujiuzuLu kupitia mitandao yao ya kijamii.
Daima mbele, nyuma mwiko!
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama...
Mimi mnyama bila kuficha ila kwa pira lile la jana pale Stade Olympique de Radès Yanga dhidi ya Club Africain, naiona nusu fainal yao kabisa, tena wakizubaa anabeba ndoo. Kule Shirikisho pepesi...
Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia.
Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado...
Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya...
Huu ni ushauri tu ninaokupa, kama walishakuandika hadi kwenye magazeti kwamba mrithi wako kishapatikana, ijui Mbrazil, hii maana yake ni kwamba, hawana imani na wewe na wamekuchoka.
Sasa Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.