Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Happy Birthday to Manchester United Legend "Howard Webb" who helped win them the title last season as well as many other seasons before that!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa...
17 Reactions
45 Replies
3K Views
Kwa matokeo waliyoyapata Yanga jana na aina ya mpira waliocheza ni wazi sasa Yanga baada ya misimu 2 mbele itakua katika daraja moja zaidi ya mtani wake Simba katika michuano ya Kimataifa. Yanga...
1 Reactions
4 Replies
423 Views
Ni dhahiri shairi awa wenzetu watani zetu usiku wa kuamkia leo nafikiri awajapata usingizi kutokana na matukio yaliyojiri jana, Ni maumivu makali wameyapata na awatoyasahau kabisa. Maumivu yao ya...
3 Reactions
3 Replies
574 Views
Tuanze na first eleven za timu zote mbili. Barca; Kipa - Valdes. Mabeki - Abidal, Mascherano, Pique, Alves. Viungo - Bosquet, Iniesta, Xavi. Washambuliaji - Pedro, Villa, Messi. Upande wa Yanga...
0 Reactions
2 Replies
643 Views
Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu. Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi. Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda. Imagine leo na kuendelea jinsi hali...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga. 2...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Atutaki malalamiko ya kuwa wananunua mechi au ni wachawi au enbeaten ya mchongo mnashindwa kucheza mechi zenu vizuri wenzio wakifanya vizuri mnakimbilia kulalamika Sawa wakimataifa tukutane next...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Leo Uto mmejua kutufunga midomo tusiyowaombea mazuri, mmetisha sana🫡🫡. Kwenye mechi ya leo nimeona mambo kadhaa: Kilichowaangusha Waarabu ni dharau yao kwa Yanga, hii mechi wangeweza kuimaliza...
8 Reactions
17 Replies
955 Views
Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu. Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Hii ni serious debate niliikuta kwenye kijiwe cha kahawa. Kina mwamnyeto watachomoka kwa opa? Kina Kibwana watamuweza Aisha? Kina mayele wazee wa kuruka ruka watamuona Gelwa? Kina aziz Ki na kina...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Mimi naziona kabisa goli tatu. Tena goli la kwanza litapatikana ndani ya dakika 15 za kwanza. Tupe utabiri wako
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani. Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani...
20 Reactions
90 Replies
5K Views
Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi sio chizi au pumbavu ambaye nilisema tukubali jina la wala mihogo, maana naona jina hilo linakuja na bahati, nlitukanwa sana. Mmeona matokeo! Sisi ndiyo wala mihogo!
1 Reactions
2 Replies
427 Views
Leo Yanga watatinga makundi kwa ushindi wa sare ya goli moja kwa moja. Yanga wataingia makundi usiku wa leo na hakuna atakae amini !! licha ya vitimbi vya hapa na pale lakini yanga leo wanaingia...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Imeisha hiyo Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane. Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Ninasikitika kusema kwamba huyu jamaa nilimchukia na kufikia mahali kumwombea Mayele achukue kiatu ijapo mimi si mpenzi wala mihogo. Unaweza kujiuliza kwa nini nilifikia kumchukia huyu jamaa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom