Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo...
Habari za mda wadau na wapenzi wa michezo. Bila kupoteza muda niende kwenye mada yangu moja kwa moja
Michuano ya FIFA CONFEDERATION CUP ni michuano ambayo uhusisha mabingwa wa mabara kwa upande...
Miongo kadhaa iliyopita Oscar Auliq-Ice alituasa haya, "Katika siasa, unajifunza kusema A = B, lakini katika hekima unajifunza kusema A = A."
Mafanikio ya A (Simba SC) Kimataifa yasiwafanye B...
Pamoja na droo ya 1-1 Singida Big Stars dhidi ya Simba FC, na Yanga kuwapiga Waarabu waoga wa Tunisia, ukweli ni kwamba matokeo ya Mamelody Sundown Ladies 1-0 Simba Queens yameniumiza mara mia ya...
Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC.
Asante na Hongera mno Kocha wa...
Mambo vipi Wakuu!
Leo saa mbili Klabu ya Yanga, miongoni mwa klabu chache kongwe na zenye mafanikio makubwa zaidi nchini Tanzania, inashuka dimbani leo kutafuta ushindi au sare ya magoli ili...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuvurumishwa leo November 9, 2022 kwenye Uwanja wa Estadio de Liti mkoani Singida ambapo Walima Alizeti Singida Big Stars ambao ni wenyeji...
Waziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.
Shabiki huyo kindakindaki mambo...
Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC...
Kwa Mbobezi / Wabobezi wa Saikolojia ( hasa ile ya Mawasiliano ) kama GENTAMYCINE ukiziangalia tu kwa umakini wako wote Picha zote za Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini kuelekea nchini Tunisia...
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums.
Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC...
Matokeo ya leo yametuhuzunisha, huzuni imeongezeka maradufu kutokana na makelele na vicheko vya watani zetu.
Wanatucheka, wanatusema, wanatutambia! Ni haki yao, kwani kwa hakika wao wanarekoni...
Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.
Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za...
"Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa...
Mchezo wa marudiano kati ya dar es Salam Young Africans dhidi ya Club Africain umemalizika na Yanga kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAF Confederation Cup kwa ushindi wa bao moja bila wakiwa...
Salaam.!
Nisiwe mchoyo wa pongezi, nawapongeza Yanga SC kwa ushindi wao walioupata jana wa goli 0-1 dhidi ya waarabu wa Club Africain ya Tunisia uliowawezesha kuingia hatua ya makundi ya kombe la...
Yanga ilicheza na Club Africain uwanja wa kwa Mkapa na kutoa sare ya bilabila. Kwa anaefahamu mpira huu ulikuwa ushindi mkubwa kwa Yanga, hata Club Africain wenyewe wanalitambua hili.
Cha...
Nimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.
Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.