Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Igweeee igweeee!! Nimekaa nikitafakari jinsi gani tunakosa mawakala wa kuwavusha wachezaji wetu kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na Marekani. Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mchezaji...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
Wababe watatu hawa hapa, mmoja akisubiriwa na SImba Queens nusu fainali. [emoji417]Mamelodi Sundowns [emoji1221] [emoji417]TP Mazembe [emoji1078] [emoji417]Bayelsa Queens [emoji1184]...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
We as Yanga fans would like to thank our president Engineer Hersi said for realizing that many of the fans who want our coach Nabi to be fired are those who do talk about Yanga all day long. We...
3 Reactions
9 Replies
749 Views
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza. Mtu anaweza kuchukia sana kwa kuitwa na mpenzi wake kiazi kitamu, lakini mtu yule yule akiitwa sweet potato na mpenzi anaweza kujiona yuko mawinguni kwa...
2 Reactions
1 Replies
598 Views
Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya...
3 Reactions
11 Replies
977 Views
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?. Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
8 Reactions
62 Replies
5K Views
Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa sasa atupishe, hakabi. Kwa kifupi ETH sijui anamuogopa, sijui ni mambo ya mikataba? Ila ni kirusi kwa timu yetu, hatufai, anatugghariimu. Ifike mahali aambiwe ukweli amechoka, apumzike. NB...
0 Reactions
9 Replies
508 Views
Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba. Huu sio uungwana. Hapa najua matusi nje nje lkn huu ndio ukweli, unakuta mtoto ana miaka 30 au hata 35 anashabikia yanga...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia. Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga...
13 Reactions
71 Replies
3K Views
Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika Ila bado...
2 Reactions
11 Replies
690 Views
Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda...
13 Reactions
55 Replies
4K Views
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Bila ya salamu Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa...
14 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine...
5 Reactions
14 Replies
788 Views
Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia. Simba Queens...
12 Reactions
146 Replies
10K Views
Mchambuzi Mnafiki Tanzania nzima Shaffih Dauda..... "Sijaona kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa kauli yake ya wala mihogo." Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom