Hawa jamaa kimakaratasi wao ndio wenyeji, ila kiuhalisia Simba Ndiye mwenyeji.
Ruvu shooting Mechi Ni yako upo nyumbani, unaipeleka Benjamin Mkapa saa 1 usiku,
Je ungecheza na Ihefu, au kina...
FULL TIME
90+3 Dakika tatu za nyongeza kuelekea kumalizika kwa mchezo
90' Phiri anapata nafasi anashindwa, shuti lake linapaa juu ya lango
77' Simba wanafanya mabadiliko, anaingia Kibu anatoka...
Katika maisha yangu ya kuangalia mpira sikuwahi kujua matokeo ya mechi yanapangwa vipi Hadi nilipoangalia mechi ya Taifa Stars na Uganda pia na ile ya Jana ya Yanga na Singida
THE MATCH WAS...
Ukiangalia mwenendo wa timu zetu Nbc ligi utaona na kutofautisha nguvu na uwezo tofauti kwa kila timu
Kiukweli Simba wameshuka sana,japo wengi huku mtaani wanajitia hawalioni hilo,ile simba ya...
Aisee tangu nilipoanza kuangalia mchezo wa boxing enzi zile za akina marehemu Stanley Mabesi, Charles Libondo Mawe, Bakary Mambeya, Magoma Shaaban, huku kwenye ridhaa enzi za akina Makoye...
Jumaane ijayo wananchi tunaenda kusimama uwanjani na kupiga makofi ya pongezi kwa kocha,benchi la ufundi ki ujumla pamoja na wachezaji wote kwa kuelekea kutimiza michezo 48 pasipo kufungwa...
Yanga ni timu bora hapa Tanzania kwa sasa, wala hili halina ubishi. Tusiwabeze Yanga eti tu kwasababu hakupata magoli mengi yaliyomuwezesha kushinda baadhi ya michuano.
Tuanze na rekodi ya...
Aisee kwanza niombe radhi kuna mwamba humu aliletaga uzi wa kunanga kuwa kombe la dunia mwaka huu Qator haina amsha amsha halafu tukampinga, na wengine tukasema apige kimya coz hana ticketi...
Kuna ile kasumba kwamba watu weusi hawapendi maendeleo ya wengine, mara ooh Wazungu watu poa sana!
Ukweli ni kwamba wivu na figisu ni kwa binadamu wote bila kujali rangi wala kabila!
Ukifuatilia...
90' Mpira umekwisha
85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa.
82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa.
74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya...
Habari iliyopo kuhusu uchaguzi wa rais wa FIFA ni kwamba, Giant Infantino amepita bila kupingwa kwa sababu hakuna mgombea mwingine aliyechukua fomu za kugombea.
Gian Infantino ambaye ni rais wa...
Watu wa Soka,
Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).
Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na...
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki...
Fiston mayele akifunga media nyingi za africa wanatangaza Goals au goal lake au zake tofauti na yule wa upande wa kule wanajaribu kumfanyia promotion lakini wapi hata kwao za(m) (b) (ia) utasikia...
Habari wadau wa michezo,
Jana kulifanyika mchezo kati ya Yanga vs Singida big stars. Ni mechi ambayo Yanga wameibuka ushindi mnono. Mazingira ya hii watu wengi wamehoji juu ya aina soka...
Baada ya jana, Simba SC kuchukua alama 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo;
19-11-2022 Ruvu Shooting - Simba SC
23-11-2022 Mbeya City - Simba...
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utakavyomalizika kuanzia bingwa hadi nafasi ya 5. Upangaji wangu umeangilia uwekezaji wa timu husika na ubora wa wachezaji wa timu zenyewe.
1. Azam FC - Hawa...
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba.
Imeisha hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.