Je, ni kazi gani ninazoweza kufanya kama skauti aliyehitimu?
Ukiwa na sifa katika utambulisho wa talanta, unaweza kuwa skauti katika ngazi mwanzo kabisa kama mpenz wa soka, nusu-mtaalamu au...
Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga 😂😂
Yaani wachezaji...
Habari wadau wa Jamii Sports?
Nina ombi moja kwenu.
Mimi ni kijana Mtanzania mwenye kujituma, mwenye nidhamu na mchapakazi. Ninaandika ili kuonyesha nia yangu ya kuomba nafasi ya kuichezea klabu...
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Pia...
Ndio!! Wala hujakosea kusoma kichwa cha habari hapo juu. Simba SC ipo katika hatua za mwisho kuingia mkataba na winga hatari AUGUSTINE OKRAH (Miaka 28) wa klabu ya Bechem Utd (Iliyoshika nafasi ya...
Wakuu heshima sana.
Huku kwetu madongo kuinama hukuna umeme.
Mitaa ya matejoo,Kambi ya Fisi,Matevesi,Olkeriani,Olkokola,Kaloleni,Ngarenaro,Daraja II,Mkonoo na vitongoji vingi hakuna umeme...
Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu...
Habari za saa hizi wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada,mm nimeathirika na uraibu(addiction) wa kucheza mashine ya kamari (bonanza au dubwi), hasara ninayopata ni kubwa sana. Nimefeli malengo mengi...
Mashindano ya Bonnah Segerea Cup yanatarajiwa kuanza tarehe 03/12/2022 hadi tarehe 18/01/2023. Timu 64 kutoka katika Mitaa ya Segerea 61, zitakutana kwenye Viwanja 8 vilivyopo Jimbo la Segerea...
Mashabiki wa timu ya taifa ya France mbona mmejikausha kana kwamba sio mabigwa watetezi wa kombe la Dunia amkeni mliko jificha tusiende mbali sana France ndio bigwa mtetezi wa kombe hili kwahyo...
Michuano itajumuisha Mechi 64 kutoka kwenye timu za Mataifa 32 duniani kote ambazo zinakutana katika taifa hilo lenye tamaduni za Kiarabu.
Mechi ya ufunguzi inachezwa kati ya wenyeji Qatar dhidi...
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika?
Kwanza maana ya Yanga...
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kocha wa Horoya anayemaliza mkataba wake, Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa muda wowote kuwa kicha mkuu wa Simba.
Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports...
Yanga imefanikiwa kuingia mechi za makundi kwa uwezo mzuri wa kiufundi kisoka iiliouonesha pale tunisia.mbali na furaha hiyo kwa sisi wapenzi wa soka yanga inalizimika kujihadhali na kuporomoka...
Tangu Ruvu Shooting apande ligi kuu katika msimu wa 2016/17, amekutana na Simba SC mara 13 mpaka sasa. Rekodi za timu hizo mbili katika ligi kuu in kama ifuatavyo:-
Ushindi: Simba SC 11-1 Ruvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.