Nashangaa kuona TFF haina wivu wa maendeleo, Kama nchi masikini kama senegal, togo na Cameroon zinaweza kwenda world cup finals vipi Taifa stars ishindwe?hii inaonesha kwa jinsi gani viongozi wa...
Mayele mpaka sasa kacheza mechi 18 kwenye mashindano yote msimu huu.
Amefunga mabao 17.
Ana 'assist' 4.
Huyu mwamba mwaka huu anaweza kuweka rekodi mpya ya upachikaji wa mabao. Maana ligi...
Baada ya vibe la kombe la dunia huku Argentina akiwa haamini macho yake, ligi kuu Tanzania Bara leo inarejea. Kuwa nami nikujuze yanayojiri kutoka kwenye dimba la Liti mkoani Singida.
Dodoma Jiji...
Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili
Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa...
Habari wadau,
Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?
Je, aitwe...
Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London.
Desemba 19, 1983...
Nimeona kuna kasumba ya watu kuidharau timu hii, imefikia wakati wengine wameanza kuita "Kichwa cha mwendawazimu" na majina mengine ya hovyo.
Kwa msiyojua Uingereza ni kati ya mataifa nane...
Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa.
Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi...
Hakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.
Mbali na kufunga , kuchezesha, kupiga pass lakini pia walikuwa football artist...
Saa 10.20 jioni tarehe 21/11/2022 mechi kali ya Kombe la Dunia inaendelea, TBC waliojigamba kutuonesha mubashara michuano hiyo wanapiga "Aso hili ana lile".
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu...
Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi.
Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza...
Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya.
Ukindoa hiyo hoja mwaka huu...
Niliongea kauli hii mapema leo kijiweni nikabezwa na kutupiwa maneno ya ukali, huku Watanzania wenzangu wakijigamba kuwa Senegal ni moto wa kuotea mbali bila hata ya Mane kuwapo.
Wakati wa mchezo...
Timu ya Dodoma Jiji wameahidiwa Tsh mil. 30 kwenye mechi yao baadaye endapo kama wataifunga Yanga.
Kwa maana hiyo ikiwa Yanga itashinda katika hii mechi basi naamini hatutasikia tena maneno...
Sherehe za ufunguzi zimeshaanza naona Muigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani, Morgan Freeman ameshiriki bila shaka amekula kibunda cha kutosha
Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu...
Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC.
Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu...
Bondia Hemed Rashid amepoteza pambano kwa TKO dhidi ya Iman Bariki 'Man Chuga', baada ya kupoteza fahamu na kupelekea kushindwa kuendelea na mapambano na kukimbizwa hospitalini kwa gari maalum ya...
Mchambuzi mkongwe wa mpira.Kwa sasa yupo TV1.
Mzee anajua sana historia na matukio makubwa kwenye ulimwengu wa mpira.
Mtaani kuna tetesi kuwa yeye ni mmoja wa waanzilishi wa betting.he kuna...
Kuanzia tarehe 20 dunia nzima ya mashabiki wa soka macho na masikio ni nchini Qatar. Itakuwa kero sana kwa mashabiki wenye akili timamu anaingia kibanda umiza kuangalia mechi ya Senegal dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.