Msimu uliyopita Simba hakupata ushindi kwenye mechi nane (8) za ugenini dhidi ya; Mbeya city, Mbeya Kwanza, Prisons, Mtibwa, Azam, Kagera, Geita, Biashara na Polisi. Lakini kwa Mkapa alipata...
Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa...
Hakika kwetu ni furaha tele siyo makasiriko kuelekea unbeaten ya 50. Niupongeze uongozi, bechi la ufundi kwa kusikia kilio chetu wananchi na tunashukuru tangu tulipomtoa Mwarabu timu imekuwa mpya...
Rais wa Juventus Andrea Agnelli na Makamu wa Rais Pavel Nedved wamejiuzulu kutoka katika klabu hiyo pamoja na bodi nzima ya wakurugenzi; Klabu hiyo ya Serie A imeshutumiwa kwa udanganyifu kwenye...
Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation...
Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa...
Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union.
Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia...
Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika😀
Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia...
Nani asiyejua kutetema? Japo mimi Simba ila wakati mwingine najificha hata kichakani ili niteteme jamaa zangu wa Simba wasinione.
Twende kwenye mada, kwa hesabu zile za darasa la nje Yanga ndiyo...
Kama kumbu kumbu zangu zipo sahihi,hii ni record ya Afrika inabebwa na yanga ama watachukua ya dunia kabisa.Hata ile yanga iliyocheza nusu fainali haikuweza kuweka record hii.
Kama ni ubora,basi...
Wakuu nimesikia tetesi kwamba Kocha wa 2020 - 2021 Pablo Flanko Martine yupo Tanzania. Pablo alikuwa akizira zira, alikuwa akigombana na akina Wawa, anapigapiga Machupa, hajawahi kuwa na ubingwa...
1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2
3. Vurugu...
Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya...
▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu...
Mimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa...
Hii kitendo cha refar's kujiongezea dakika hata kama walipoteza mda hii sio sahihi kabisa refa anatakiwa afungiwe huu Sasa sio mpira ni rede, Dakika 90 zimesha unaongeza 4 ni ruksa na sio zaidi ya...
Hapo mwanzo kuna mashaka yaliibuka juu ya uwezo ako nao kijana wa Tshikedi Joyice Lumalisa, mara oo jina sijui la nani wakiongozwa na yule mpiga makelele wao, mara Yanga wamepigwa kama kawaida ya...
Kwanza kabisa niwape pole wale wote wanaopenda mpira ila kwa bahati mbaya wakajikuta wanaishabikia Yanga. Nataka niwaambie wazi kuwa Yanga sio timu ya mpira bali ni kikundi cha propaganda, hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.