RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema...
FULL TIME
90' Sakho anaipaia Simba goli la tano
GOOOOOOOOO
81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi
77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo
Phiri anaipatia...
Habari wanabodi, sote tunajua ukizungumzia mpira wa Tanzania basi unazungumzia Simba na Yanga. Kwa miaka minne mfululizo timu ya Simba imefanikiwa kutawala soka la Tanzania kwa kubeba ubingwa mara...
Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au...
Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions...
Kwa mujibu wa wakale wake, Rafaela Pimenta amesema jeraha hilo litamfanya Pogba kukaa nje kwa wiki 3 akiungana na N'Golo Kante anayeuguza majeraha pia
Daktari aliyemfanyia upasuaji amesema yeye...
Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku...
Pondamali anadai kumuuliza Sammata kwamba walikuwa wanafanyaje walipokuwa TP Mazembe hadi kuwapiga waaarabu nje ndani , ambako inadaiwa boss wa Mazembe alikuwa anawatuma mashushushu hadi nje ya...
Kuna wakat inabid ubadili uchezaji wako kwa manufaa yako
Na declare interest mimi ni simba lunyasi dam dam ila na wish Uto waingie makundi(sio kwamba nawapenda hapana ila nataka waingie makundi...
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu.
Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
Nani ataibuka kidedea ngoja tusubiri mbungi
Nawaona Club Africain wakioga mvua ya magoli
===
Mchezo huu wa kwanza wa kutafuta mafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unafanyika...
Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club...
Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022.
R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League...
Yanga nawaombea sana washinde kesho pia waweze kuvuka. Wakivuka itakuwa vizuri sana kwasababu watabaki makundi na ratiba itawaumiza kama ambavyo Simba huumia. Wakitoka Simba tumekwisha maana sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.