Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo wa Caf confederation cup utakaochezwa kesho jioni saa 10:00 Alasiri kati ya dar es Salam young African na club africain hali imekuwa tofauti kidogo...
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.
Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
Mpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African...
Habari za mda huu wakuu
Nmekuja kuandika kuhusu mechi ya leo ya Yanga
Naona wanajisahau kwa kuona club Tunis ni ya Kawaida baada ya kufungwa 8 na TP mazembe .
Nawakumbusha tu yanga. Wao sio...
Kilichonifanya GENTAMYCINE niulize hili ni kwamba Gari yake ina miezi Mitatu sasa ni Mbovu ila leo iko Mtaani anapiga nayo Misele na Rangi kaibadilisha pia.
Pia kuna Viwanja Vinauzwa huko Chanika...
Kwa nyakati tofauti Mbunge wa Kahama Mh Kishimba na Mbunge wa Geita vijijini Mh Joseph Msukuma waliwahi kuomba bangi ihalalishwe kama zào la Biashara ikilimwa kama dawa.
Lakini kitendo...
Hongereni Simba kwa kusonga mbele group stage. Leo mechi niliiangalia kwa hawa viungo wa kati wa simba Mzamiru Yasin na Kanoute a.k.a Putin.
Kwanza majina yao ya utani yanaakisi wanachokifanya...
Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt.
Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale...
Wasalam wana JF,
Wakati tunajiandaa kuwashuhudia ndugu Watanzania wenzetu hapo kesho kwenye mtifuano wa shirikisho, tuangazie wafungaji bora wa ligi yetu kwa misimu mitano iliyopita.
Hii...
Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo.
Ni kweli sisi ni unbeaten, Tunaongoza...
"Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna...
Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163).
Chini ya Sheria...
Kupitia kipindi cha dakika 90 cha azam tv ali aliweka wazi kuwa kuanzia sasa angapenda kutambulika kama meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya yanga..
Namnukuu”kwanza niweke wazi,hapo awali...
Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni...
sina mengi ,
Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba,
Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi!
Kama Kuna ahadi , au mambo...
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya...
Azam alishinda goli moja bila dhidi ya simba ni katika mchezo mzuri wa kuvutia ambapo timu zote mbili kila moja zilionyesha uwezo na thamani halisi ya usajili wao mechi iliotuacha tukizitathhmini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.