Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii tamthilia inaendelea na wapenzi wa tamthilia hii wameamini kuwa huenda ni true story. Mtengenezaji na mwongozaji wamejitahidi kwa viwango vya hali ya juu sana. Hii imekuwa nzuri kibiashara...
1 Reactions
19 Replies
862 Views
Sisi tunaoifahamu Simba bila ushabiki oya oya tunajua kuwa wachezaji wetu wengi ndani ya Simba hawawezi kutoa ushindani, lazima uongozi, wapenzi, mashabiki na wanachama wakubali kuwa kikosi chetu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ilikuwa mechi ngumu sana iliyojaa ufundi na kukamiana na mwishowe ESS ikafanikiwa kushinda kwa uzembe wa mabeki. Timu za ukanda cecafa zinajifunza nini?
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Hali hiyo inaweza kutokea ikiwa ni mwezi mmoja tu umesalia kabla ya kuanza kwa michuano hiyo Nchini Qatar kama Serikali ya Tunisia itaendelea kuingilia masuala ya soka. Onyo hilo limetolewa na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu jana nimelipia pesa kwaajili ya mechi ya Yanga dhidi ya Geita kwa bahati mbaya nimepata shida, sitoweza kufika uwanjani. Je, pesa yangu itabaki kwenye kadi au ndiyo imepotea hivyo? Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani, ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha. Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni bandika bandua leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, pale miamba ya soka Afrika mnyama mkali mwituni wekundu wa msimbazi, watakapo karibishwa na matajiri wa Azam FC katika kuwania pointi 3...
11 Reactions
630 Replies
34K Views
Wakuu Kuna video nimeiona(,Nimeshindwa kuilandisha Hapa) Wakati wakifanya mazoezi kabla ya kucheza na Makolo. Kimsingi Nimewadharau bure! Walikuwa Kwenye mashindano ya kimataifa kwa nn hiyo...
1 Reactions
7 Replies
562 Views
Kwa mara ya kwanza katika misimu miwili ya NBC inayofuatana, timu ya mpira wa miguu ya wanaume ya Yanga inaenda kupoteza alama tatu kama siyo mbili muhimu kwa timu ya dhahabu ya Geita. Ni hayo...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Klabu ya Simba leo Oktoba 28, 2022 imeingia mkataba wa miaka miwili wa Bima ya Afya na kampuni ya Mo Assurance ya Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo uliosainiwa una thamani ya sh 250 milioni kwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za asubuhi, Kama nilivyoleta uzi wangu jana kusema Simba ina kikosi cha kawaida kulinganisha na Azam, hilo halina ubishi na siyo Simba tu ni hata Yanga pia. Je, unafahamu toka Simba na...
2 Reactions
61 Replies
3K Views
Moja ya watu wenye uchu mbaya wa pesa kupitia vilabu vikubwa ni huyu mtu anaitwa Dauda. Ni mmoja wa virusi vikali sana anayetafuta kwa njia zote za fitna kupata fursa pale Klub ya Simba ili apige...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali. United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Haina salamu. Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga? Yaani sasa...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni. Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa...
4 Reactions
17 Replies
866 Views
Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Back
Top Bottom