Alaumiwe Mgunda na sub zake za ovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya...
Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu.
Tume ya ushindani unapaswa...
Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo...
Mara baada ya mechi kocha alihojiwa juu ya ushindi ule hapa DSM dhidi ya Primiero De Agosto.
Mtangazaji: Vipi matokeo ya leo unayaelezea vipi?
Mgunda: Nawashukuru wachezaji wakongwe kikosini...
Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja.
Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana...
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa...
Shirikisho la Soka (FA) limempa adhabu hiyo Meneja wa Liverpool kwa kosa la kugombana na mwamuzi msaidizi kwenye mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Manchester City.
Klopp, alioneshwa kadi nyekundu kwa...
Baada ya kudumu kwenye soka la ushindani kwa takribani miaka 22 akicheza kwa mafanikio makubwa sana, Kipa Juma Kaseja ‘Tanzania One’ hatimaye amefanya maamuzi magumu kwa kutangaza kustaafu kucheza...
Lengo la kuwa na mechi ya nyumbani na ugenini ni kuweka mizania sawa kwa timu mbili husika. KMC wanatumia uwanja wa Uhuru hapo Dar kama uwanja wake wa nyumba.
Ombi langu kwa Bodi ya Ligi ni...
Kama kuna timu imewaingiza mkenge Simba basi ni wale wa Angola. Baada ya kuwatoa De Agosto na kutinga makundi, Simba wameongea saana mtaani na kujiamini kupitiliza.
Msemaji wao akawavimbisha...
Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela.
Nilikuwa...
Sawa ni matokeo ya mpira lakini punguza hizi confidence zako. Itakugharimu pia, hutakiwi kufungwa.
Kikosi chako cha leo ni cha kisela, umetuwekea vibabu, please kipindi hiki sio cha majaribio, ni...
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa...
Barcelona ilikuwa klabu ya kwanza katika mchezo wowote kuingiza $1bn katika mapato ya kila mwaka lakin kwa sasa ina deni karibu $ 1.4bn na hii katika miaka ya karibuni. Barcelona imekuwa katika...
Bila mbambamba most, hiyo mada ishajieleza! Leo Azam nifanyieni kitu special, ile kitu hizi jamaa zitafanyiwa huko kwenye makundi.
Nitoleeni stress ya kutokuoga wiki ya tatu sasa, bundle...
Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita...
years of existence, Azam FC has become an envy of other Tanzania Mainland Premier League clubs.
And born in 2007 also join VPL(Vodacom Premier League) Tanzania Mainland Premier League in season of...
Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa.
Hii ni maalum kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.