Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza...
Wazoefu mnijibu swali langu, wa nje anawakubali kirahisi wanafanya yao halafu wanaondoka lakini mume wake wa ndani anambania.
Yaani mpaka dakika tisini zinaisha mke kabana, tatizo ni nini hapa...
Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi...
Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano...
Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu...
Hii ni dalili ya ushindi wa michongo. Ni jambo gumu sana timu imara inayoweza kutopoteza mechi nyingi namna hiyo halafu ishindwe kufurukuta mashindano ya kimataifa!
Hii timu ilifanikiwa pia...
Nauliza, huyu dada alikuwa Msemaji wa Simba Queens ila amepotea ghafla, nafasi yake naona Ahmed pia anaifanya, wameachana naye lini? Shida nini? Mbona mapema kabla mkataba kuisha?
Rais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea.
Kosa pia lilifanyika wakati wa kusajili wachezaji, hakukuwa na balance kwenye timu...
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana.
Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika.
Ila...
Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda.
Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF...
1. HAJIAMINI
anakera sana kitendo chake cha kutoa kadi za njano bila mpangilio ili kupunguza makali ya wachezaji hata kama rafu iliyochezwa haistahili adhabu hiyo,shida inakuja pale mchezaji...
Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga.
Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani...
Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 -...
Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini.
Alichofanya Okrah...
Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi.
Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina...
Watanzania tubadilike, Kocha hajafungwa mchezo wowote katika ligi anakimbilia michezo 50 sasa, leo hii linatokea kundi la watu wakijiaminisha kabisa ati kocha hafai!
Majuzi hapa kocha wa Azam...
Hatimaye tarehe 23/10/2022 ikafika baada ya siku kadhaa za tambo, ngebe na kelele nyingi kutoka kila upande. Kwangu Derby ya safari hii ilitawaliwa na saikolojia ya nje ya uwanja kati ya wale wa...
This was our game, we were supposed to win.
We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.